The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 213
Natumia FTR astrovox 290 DIGITAL SATELLITE RECEIVER na satellite dish la futi 6. nawezaje kupata free to air channels
ku band kale kadogo,inawezekana kwa kupata chanell za urabuni but local ni ngumu ,kwa ku local inapaticana eultasat 36