Kwa Wataalamu wa maswala ya satellite dish installation.

!shida yote ya nini kaka. Weka LNB 1 na KU 2 unadaka zote za uarabuni west kama Nollywood nigeria na za south zote,za bongo zote ambazo ziko kweye sate. Mi nakamata station 102. Plus radio 123 za ndani na nje. N sometimes napata ss3,ignation ss2 but huwa zinakuja na kupotea

weka shule basi mkuu,satellite gani. direction, freq na symbol hapo ndio utakuwa umetoa mchango wa maana
 
Hivi kweli kuna uwezekano wa kupata radio za hapa bongo.Mimi natumia dish la futi sita lakini sipati hata moja.Naomba nielezwe nifanyeje nizipate wakuu.

Yaa,kila local chnl unayopata inkuwa na radio yake. Unapaswa kubofya Audio button kwny remote yako unapata option na unachagua statn unayotaka. STR RECEIVER ZOTE ZINA OPTION YA AUDIO.
 
Hivi kweli kuna uwezekano wa kupata radio za hapa bongo.Mimi natumia dish la futi sita lakini sipati hata moja.Naomba nielezwe nifanyeje nizipate wakuu.
inawezekana na tayari unazo ila 2 hujui zilipo.inategemea na recva unayo2mia.jaribu hiyo,fungua 1wapo ya tv ya bongo,bonyeza ki2fe cha audio,scrow chini kupata radio.
 
Natumia Astrovox 290.Napata radio za Asia tu kama china,korea,australia.Ama kuna makosa ktk kusearch yalifanyika?
 
Remote yako kwa chini kuna button imeandikwa audio,ukibofya screen yako itakuandikia maneno ya kuchagua local radio. Mfano STAR TV unapata RFA na KISS FM tulizana mkuu wakati unajaribu haya mambo.
 
Asanteni nimefanikiwa.Na je ni rangi gani nzuri ya kupaka dish likishika kutu?Na likipakwa rangi signal bado itakuwa sawa.
 
Daa! Bonge la darasa. Minaishi kijijini, lakini kwa sasa nipo university! Nilitaka kuuza dishi langu la eurostar kwa kuhofia ni analogue! Kumbe yataendelea ku'exist' 2013? Asante kwa elimu.
 
kuna jamaa kanipigia simu kuwa anapata CHANNEL TEN ya tz kupitia KU kuna uweli wadau.
 
Samahani mkuu,hyo Ku ya Kenya ktk NSS 12 UMEIFUNGA WAPI KATK DISH? Maana mimi nifunga Chini kabisa kwny rod ya mbele linakoinamia dish,lkn sipati WBS ,SABC,,badala yake napata KBC,K24 na FAMILY peke yake tena intelsat 902/KU. So ili niweze kuipata hyo NSS 12 nifanyeje?
ulikofunga hiyo ku ndio hapo hapo tena nadhani satellite unayoinasa ni hiyohiyo nss 12 na hiyo wbs huwa inakamata kwa muda na mwanzoni walikuwa wanatumia frequency zingine na sasa wamebadili na sabc haipo kwenye sat hii sat hii ina KBC, K24, FAMMILY,SAYARE TV (Kenya) WBS (Uganda) na feeds 2 za Tz
 
kuna jamaa kanipigia simu kuwa anapata CHANNEL TEN ya tz kupitia KU kuna uweli wadau.

ni kweli,unaipata ukiwa na mpeg4 decoder kupitia sat eutelsat 36A kwenye position ya dstv.utapata pamoja na startv na itv
 
ni kweli,unaipata ukiwa na mpeg4 decoder kupitia sat eutelsat 36A kwenye position ya dstv.utapata pamoja na startv na itv
mimi naona kama hapa kwenye 36A ziko fta kwa muda kwa sababu TBC, ATN, KBC wamesha ziscrambled na hiki ni kifurushi cha TING.
 
mimi naona kama hapa kwenye 36A ziko fta kwa muda kwa sababu TBC, ATN, KBC wamesha ziscrambled na hiki ni kifurushi cha TING.

cjakuelewa vizuri.eutelsat36A zamani w4 na eutelsat36B zamani w7 zote zipo kwenye position moja 36degrees east. A ni ya ting na B ni ya dstv.mi nina ungo wa ting na napata itv,startv na ch10 bure mpaka sasa ninapoandika.napata pia rdv, ebru na nyingine nyingi kupitia w4.kwenye w7 napata cctv channels pamoja na zap package promo ambazo ni audios tu.unahitaji kuwa na mpeg4 decoder.ukweli ndio huu.
 
ni kweli hujanielewa mimi sijasema haziko free ni kweli itv, ch ten, na star tv ziko fta ila wasiwasi wangu ni kuwa hawa jamaa wa ting wanaweza kuzifunga kama walivyozifunga tbc, atn, kbc nk.
 
Je kuna uwezekano wa kupata MBC channels zote kwa sat dish la 6ft? Nafahamu kwa hv sasa MBC,s zinapatikana ktk Arabsat Badr4 (26 East) ila nashndwa kuelewa kwa dish size gani unaweza kuwapata. Kwa Nigeri wanapata kwa 1.6m,2.4m na hata 100cm dish size. Je hapa kwetu ni vipi?
 
Hivi kweli kuna uwezekano wa kupata radio za hapa bongo.Mimi natumia dish la futi sita lakini sipati hata moja.Naomba nielezwe nifanyeje nizipate wakuu.

Natumia dish la futi 8 napata radio zote na zingine nyingi kama nikienda upande waradio. Ila mimi sio fundi wa kuset dish kwa hivyo siwezi kusema mengi
 
Kweli humu kuna wataalam, vp jamani kuhusu hizi chanel Fox,baby tv, zee cinema maana kila nikisearch zinapatikana lakini hazioneshi,au kuna uwezekano wa password zake kama zipo naombeni mnipatie wakuu au ni za kulipia?
 
shida yote ya nini kaka. Weka LNB 1 na KU 2 unadaka zote za uarabuni west kama Nollywood nigeria na za south zote,za bongo zote ambazo ziko kweye sate. Mi nakamata station 102. Plus radio 123 za ndani na nje. N sometimes napata ss3,ignation ss2 but huwa zinakuja na kupotea

kaka nimeipenda hii kitu ila ni mgeni sana katika masuala haya ya teknolojia hii. Nifanyeje ili niweze pata hizo channels. Nielekeze hata kwa wataalamu wa mambo haya.
 
Back
Top Bottom