Kwa wasichana wanaotaka kuolewa tu. Serious natafuta msichana wa kumuoa

natafuta mchumba

New Member
Jun 30, 2012
3
0
MIMI NI KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 27, MKRISTO, SIJAWAHI KUOA NA SINA MTOTO, SITUMII KILEVI CHOCHOTE NA NI MWAJIRIWA WA SERIKALI. HAKIKA NIPO SERIOUS NA NIMEAMUA KWA DHATI KABISA KUTOKA MOYONI MWANGU KUHUSU SWALA HILI ZITO. NIMEAMUA KUFUNGUA MOYO WANGU NA KUTAFUTA MWENZA WA MAISHA KWA AJILI YA KUANZISHA FAMILIA KAMA MKE NA MUME ENDAPO TUKIRIDHIANA. NAPENDA ZAIDI MSICHANA ALIYE SERIOUS PIA NA SWALA HILI NA SI VINGINEVYO KWANI SIPENDI KUPOTEZEANA MUDA. MTU NINAYEHITAJI ANGALAU AWE NA SIFA KAMA; UMRI ASIZIDI MIAKA 25, MKRISTO, AWE HAJAWAHI KUOLEWA NA ASIYE NA MTOTO, ASITUMIE KILEVI CHOCHOTE, UMBO LA KATI, MWEUPE AU MAJI YA KUNDE. NA ZAIDI NAPENDELEA MSICHANA ASIYE NA KAZI ILI AWEZE KUSIMAMIA MIRADI YETU NA PIA ILI IWE RAHISI KWAKE KUHAMIA HUKU NINAKOISHI MIMI LAKINI PIA KAMA NI MFANYAKAZI ISIWE PERMANENT CONTRACT KWANI ITAKUWA VIGUMU KUHAMA. KAMA WEWE NI MSICHANA ULIYE SERIOUS TUWASILIANE KWA 0767453153 au 0752539979 na 0656380928.
 
ningejitosa kwa sababu am jobless,ila umri baba yangu.....legeza kidogo tujitose....
 
Dude, kama kweli huko serious na kuoa usije hapa. Hapa kuna watu wa kila aina na si kila atakayekujibu is serious. Kama kweli you are that serious na kuoa tafuta mwenyewe na utapata lakini usibandike tangazo hapa. In short, you are cheating yourself!
 
mwaya kama umeshindwa mwenyewe kumpata,washirikishe ndugu zako,au wazee kule kijijini watakutafutia kimwana poa kabisaa:A S-baby:
 
mwaya kama umeshindwa mwenyewe kumpata,washirikishe ndugu zako,au wazee kule kijijini watakutafutia kimwana poa kabisaa:A S-baby:

hivi watu wa kijijin unawaonaje jestina?????zama za leo hakuna kijiji useme utapata a calm gal,,,,,,,
 
Dude, kama kweli huko serious na kuoa usije hapa. Hapa kuna watu wa kila aina na si kila atakayekujibu is serious. Kama kweli you are that serious na kuoa tafuta mwenyewe na utapata lakini usibandike tangazo hapa. In short, you are cheating yourself!

sijui y mnapaogopa hapa,me nimeoa wake wawil toka hapa,mmoja yupo chole analima mihogo,mwingine mang'ula analima mpunga
 
Maadamu umelete hoja jamvini ,naomba nikupe ushauri huu, ni muhimu sana....hakuna mke mzuri atakaye kufaa,kukusikiliza,kukushauri ,mwenye sifa zote,mjenzi wa nyumba yako,mkarimu,mwema mithili ya ester tunayemsikia ndani ya biblia kama huyu....mwombe mungu ndani ya miezi 6 tu kuhusu hamu yako juu ya kuwa na mke uone kama hatakujibu.ikiwezekanatoa sadaka ya shukurani juu ya hili ombi , bahati nzuri una kazi kwa hiyo hata sadaka hii haikushindi...hakika kwa imani utakuja niambia juu ya huu ushauri...mungu wetu ni mwaaminifu kuliko unavyofikiria na kuwaza,kitendo cha kutuandikia hapa ni mpango wa mungu... Chukua hatua uone.ahsante
 
Kila la heri kaka mkubwa... Mke mwema hutoka kwa Bwana... Muombe Mungu atakupa huenda yupo hapa ama mahali popote
 
Maadamu umelete hoja jamvini ,naomba nikupe ushauri huu, ni muhimu sana....hakuna mke mzuri atakaye kufaa,kukusikiliza,kukushauri ,mwenye sifa zote,mjenzi wa nyumba yako,mkarimu,mwema mithili ya ester tunayemsikia ndani ya biblia kama huyu....mwombe mungu ndani ya miezi 6 tu kuhusu hamu yako juu ya kuwa na mke uone kama hatakujibu.ikiwezekanatoa sadaka ya shukurani juu ya hili ombi , bahati nzuri una kazi kwa hiyo hata sadaka hii haikushindi...hakika kwa imani utakuja niambia juu ya huu ushauri...mungu wetu ni mwaaminifu kuliko unavyofikiria na kuwaza,kitendo cha kutuandikia hapa ni mpango wa mungu... Chukua hatua uone.ahsante
thanx kwa ushauri. i will work on it.........................
 
hii tabia ya kuchangamkia mada za wanaotafuta wachumba za akina dada na sio kina kaka zife tafadhali lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom