Kwa wanawake wote wa JF wapya na vikongwe

Celebrity

Member
Jan 7, 2010
66
1
Tafadhari wekeni AVATAR zinazoendana na sura na shepu zenu. Ili hata kama mtu anakutana na wewe asishtuke, iri picha arioijenga kichwani ziendana na muonekano wako wa nje. :confused2:

Nawapenda sana.
 
Wewe hiyo avator yako inaendana na sura na shepu yako?
 
Mie hapa nimejiunga kuchambua hoja, kubadilishana mawazo ,na kupeana ushauri sikuwa na dhamira ya kukutana na mtu..kama itatokea ikitokea kukutana kwa ajiri ya kupeana mikakati endelevu basi akubaliane na vile atakavyoniona

natanguliza shukrani
 
Unaagenda gani tena ndugu yangu ?..Ama ndio unataka kutafuta jiko humu humu JF
 
Tafadhari wekeni AVATAR zinazoendana na sura na shepu zenu. Ili hata kama mtu anakutana na wewe asishtuke, iri picha arioijenga kichwani ziendana na muonekano wako wa nje. :confused2:

Nawapenda sana.
Umekutana na nani ukaona yupo tofauti na avatar?
 
Kwani aliekuambia watu tunajiunga humu ili tuje kukutana
ni nani???????????

Sio wote wako humu kwa ajili ya kutafuta wachumba.......

Kuwa na heshima kwa wanawake.........
Wengine humu ni umri wa mama yako au dada zako,
have some respect.....
 
Mwacheni mshikaji, inawezekana ana ka-ugonjwa wabondei wanaita kiranga (hamu iliyopitiliza.. na anaitii hiyo pressure)!

Next time tutasikia mtu anaomba tuweke picha zetu halisi...LOL!!
 
Tafadhari wekeni AVATAR zinazoendana na sura na shepu zenu. Ili hata kama mtu anakutana na wewe asishtuke, iri picha arioijenga kichwani ziendana na muonekano wako wa nje. :confused2:

Nawapenda sana.

nashindwa kuelewa mwalimu wako wa kiswahili alikufundisha lugha ipasavyo au ni wewe mwenyewe hutaki kujifunza?........na isitoshe nani kakwambia watu wamejiunga JF ili wakutane?
 
Tafadhari wekeni AVATAR zinazoendana na sura na shepu zenu. Ili hata kama mtu anakutana na wewe asishtuke, iri picha arioijenga kichwani ziendana na muonekano wako wa nje. :confused2:

Nawapenda sana.

Ala kumbe umeingia hapa kutafuta wanawake? Umejidanganya!!! Kwa nini unapata tabu na hizi anonym hapa usiende tu usiku kule Kinondoni, Garden avenue, Magomeni, Kigogo, Mwananyamala, Night Clubs and so on? Pale figure halisi utazipata za ndani na nje ya nchi!!!!!

Charity starts at home!!! Weka kwanza picha zako, tena tangu ukiwa mdogo ili tuone na mazingira uliokulia, ikweli ni kuwa tuko members wa status mbalimbali hapa!!! Dare basi!
 
mie humu nimempenda zaidi katavi. Hata hivyo wengi wetu humu tumejiunga kuchangia mada tu, na tunakuwa huru zaidi kuchangia tukiwa hatujuani, maana wakati mwingine mtu unaweza kuandika mambo ambayo tukiwa ana kwa ana siwezi kukushauri au kukwambia. ni kheri tubaki bila kujuana! mie hata nikibandika picha yangu halisi siku ukiniona utamwaga shikamoo kibao kwani nahisi naweza kuwa na umri wa mamio! muhimu zaidi ni mada na mchango wa mwa JF. na kama kweli una nia ya kujuana basi hata wanaume yanawahusu pia, :eyeroll2:
 
Kwani aliekuambia watu tunajiunga humu ili tuje kukutana
ni nani???????????

Sio wote wako humu kwa ajili ya kutafuta wachumba.......

Kuwa na heshima kwa wanawake.........
Wengine humu ni umri wa mama yako au dada zako,
have some respect.....

Mbona umekuwa mkari wewe mwanamke kwani?
 
Ala kumbe umeingia hapa kutafuta wanawake? Umejidanganya!!! Kwa nini unapata tabu na hizi anonym hapa usiende tu usiku kule Kinondoni, Garden avenue, Magomeni, Kigogo, Mwananyamala, Night Clubs and so on? Pale figure halisi utazipata za ndani na nje ya nchi!!!!!

Charity starts at home!!! Weka kwanza picha zako, tena tangu ukiwa mdogo ili tuone na mazingira uliokulia, ikweli ni kuwa tuko members wa status mbalimbali hapa!!! Dare basi!

Shetani shindwa katika jina ra Yesu
 
jamaa kapoteza kweli, jina lake kwanza ni tusi halafu anafikiri wote wenye majina ya kike ni wanawake. hapa kikubwa ni michango tu jinsia haikuhusu mke katafute kwenu
 
Back
Top Bottom