Kwa wanawake waliozaa

Congratulations! Siku zote nilidhani wewe ni njemba.

Yani wewe Power to the People ni Mom??? Duh.....Mo comment yako imekaa ki man man.........Kuna haja ya kudisplay SEX.
Thanx kwa kujua koz hata nami nilikua nimeingia chaka kuhusu sex yako.

Hello to ur daughter.
 
Ni kweli huyo mama anakosa kitu muhimu sana,seeing ua child grow up and all the challenges in being a mother is one special feeling.

Jamani mnanitamanisha sana manake mie mara baada ya kujifungua nilimwacha my baby akiwa na about 4month eti nakimbilia kurudi shule, yaani sometimes nikiwaza naona ni upuuzi tu, sijui kwanini nilimwacha mwanangu akiwa mdogo vile. But now he is 2.3 yr but sikumtendea haki kabisa.
 
Umebarikiwa wewe Mama; Mungu Mwenyezi akusamehe kosa hili usirudie TENA; you missed a very special moment with your offspring; halafu Baadae mnalalalma watoto hawa relate nanyi! Hivi unajua wanasikia kila kitu tangu wakiwa matumboni mwenu! I can prove that!
 
Jinsi michango yako ilivyotulia hapa jamvini (pamoja na Avatar yako) basi mwenzio nilidhani wewe tayari ni Mama. Subira yavuta heri, nawe ukiwa tayari utajaliwa watoto wazuri wakupe furaha tele for the rest of your life.

BAK sasa umeelewa kw anini nimeweka hiyo avatar......Bala anachelewa sana kufanya kweli hahaaaaalol!!!

Thanks for your prayer and a wise word Brother!!!
 
kweli mtoto ana raha yake, siwezi kuexplain how it feel knowing s/he is urs, s/he depnds on you, s/he gave u unconditional love yani mama tu ndie anaweza kuelewa how it feels.

my first preg haikuwa na very pleasant moments, kupanic, woga na nilikua in my final yr near mtihani wa mwisho!
 
hongera mpendwa
u r making me jealousy sasa
kweli waoto huleta furaha, jirani yangu ana kabinti about 2 yrs hivi, she z so sweet and when i go home she will come runninh and she calls me 'mama'... (hakulelewa na mama)
yaani hata kama nimechoka nikimuona nasikia furaha sana!! I feel sorry for her mother she doesnt knw anakosa nini

This is why I vowed to be close to JR as long as I live!
 
Umebarikiwa wewe Mama; Mungu Mwenyezi akusamehe kosa hili usirudie TENA; you missed a very special moment with your offspring; halafu Baadae mnalalalma watoto hawa relate nanyi! Hivi unajua wanasikia kila kitu tangu wakiwa matumboni mwenu! I can prove that!

Yani Masikini_Jeuri nimekoma sitorudia tena kosa kama hilo, kamwe kama ni kusoma basi inatosha.
 
hahaha safi sana daughter ni raha iliyoje upendo wa mama kwa mtoto .mwenyezi mungu aliweka maajabu ..me naplan baby mwingine next year huyu akiwa 4 years nadhani itakuwa njema sana

Yani mnavyosema hivo natamani sana ningekua na mimi nina mwanangu jamani.
Natamani sana ila Mungu hajanijalia, nina zaidi ya mwaka kwenye ndoa ila sijabahatika kupata ujiuzito
 
Yani mnavyosema hivo natamani sana ningekua na mimi nina mwanangu jamani.
Natamani sana ila Mungu hajanijalia, nina zaidi ya mwaka kwenye ndoa ila sijabahatika kupata ujiuzito

Hapo kwenye bold; ametupa mamlaka ya kumwambia shida zetu! Endelea kumshukuru na kumkumbusha ombi lako kwa njia ya maombi kwa Imani yako! Usighilibiwe katu na njia za wanadamu!
 
:A S-rose:Kwanza i was so confused jamani but now mmh i can't imagine myself ..... Hahaha najisikia furaha sana nina kabinti kangu 3.5 years duh nikitoka kazini kwanza kananikiss mwa shavuni .mamy mamy i miss u ..umeniletea nini leo teteteteh raha jamani raha sana :A S-rose:
...I guess you alike....mh!!!
 
I salute all wababa na wamama na wenye kulea watoto JF

Munguawabariki kwa kazi kubwa muifanyayo na hakikisheni watoto hao wanakuja kuwa matunda mema kwa nchi!
 
Congratulations! Siku zote nilidhani wewe ni njemba.

Yani wewe Power to the People ni Mom??? Duh.....Mo comment yako imekaa ki man man.........Kuna haja ya kudisplay SEX.
Thanx kwa kujua koz hata nami nilikua nimeingia chaka kuhusu sex yako. Hello to ur daughter.

Guys am a woman a real african woman working hard for my children and this nation. And hubby and I are expecting another one we are like 4 weeks pregnant :biggrin:.

My baby can now say "POWER TO THE PEOPLE" not very fluently though started teaching her when she was born.
 
Lol! Power to the women out there! Hata mimi ni mmoja wao!
 
naomba nielezee demu wangu wa sekondari alivyojisikia.
aliniambia nimsindikize coco beach kule kwenye miamba,
kuna kitu anataka kuniambia.
akaniambia anajihisi ana mimba na nikiikataa hiyo mimba atajirusha kwenye ile miamba ili afe.
Mi nikamwambia wee jirushe tu, mi ntaondoka pekeyangu na kuiacha maiti yako kama siifahamu.
Nikamweleza kuwa hayo mambo hayahitaji vitisho wala, tukaongea nae taratibu na kwa vituo na akarudi katika hali ya kawaida.
 
Back
Top Bottom