Kwa wanaume tu; Ingekuwa wewe ungefanyaje?

mie nitajua ya kuwa mke wangu kashabanduliwa na mie nitafanya mpango wa kutafuta demu wa kupoozea. Nalog off
 
Unakausha na kujifanya uko mbali sana na upupu auongeao ikiwezekana naanzisha mada nyingine na watoto au wakwe yeye unampotezea.

Ikishindikana unamuuliza swali au kitu chochote kile kitakacho hitaji akijibu au elezea kwa mda kidogo ili umtoe kwenye tv nakumuleta kwenye swali.
 
mbona rahisi, unaacha tu taarifa ya habari ipite, alafu wewe unamfanyia live, sio vya taarif aya habari. Unavizia dada ambae hawana uhusiano mzuri sana alafu unaanza kusema: hivi fulani ni mzima? yule dada kaumbika masha'llah! anarangi nzuri, ngozi nyoror, shavu shavu, t.a.k.o t.a.k.o! alafu sauti yake kama anamafua. si unajua sweety sauti hizo zinavo niangusha? Ni vile tu nimesha oa ila yule dada kwa kweli... hivi sweety umesha ona miguu yake? ayayayayaya... unendelea hadi alie! lol
 
Hapo nimepakubali maanake kitamuuma ile mbaya
 
Oops! Kumbe Mwali ni Mwanaume! sikujua, ama ulikuwa unapita tu...lol. By the way, ulichosema kama ni mwanamke mwenye busara atagundua kuwa alichemka na hatarudia tena maishani mwake. Unless awe tayari alishaamua kuachana na wewe ndio maana akaamua kukufanyia vituko live. Wazani mwanamke anayekupenda kwa dhati anaweza kukufanyia hivyo(kuzungumza hayo aliyozungumza)?
 
Ningemwambia ni kweli mtangazaji ni mzuri sana yani kama alivyo miss flan hv na yey mtoto nyororo kama sufi yani akikushika tu mnara ushapanda yani acha tu ukigusa tu kweye K##a tu ushaachia wazungu na ndani ya dakika tu kitu kishanyanyuka tena yani we acha tu

hahahaahahaha yani nilijua tu hizi zitakuwepo yani..!
 
mbona rahisi, unaacha tu taarifa ya habari ipite, alafu wewe unamfanyia live, sio vya taarif aya habari. Unavizia dada ambae hawana uhusiano mzuri sana alafu unaanza kusema: hivi fulani ni mzima? yule dada kaumbika masha'llah! anarangi nzuri, ngozi nyoror, shavu shavu, t.a.k.o t.a.k.o! alafu sauti yake kama anamafua. si unajua sweety sauti hizo zinavo niangusha? Ni vile tu nimesha oa ila yule dada kwa kweli... hivi sweety umesha ona miguu yake? ayayayayaya... unendelea hadi alie! lol
Pamoja mkuu, hayo ndio maamuzi ya busara na isiishie hapo tu unmfanyia hivyo kwa wadada kama watano hivi mbona atakoma mwenyew
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom