Kwa wanaume tu; Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Chibidu

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
387
49
Hebu fikiria uko sebuleni kwako, uko wewe, mkeo, watoto, wakwezo na marafiki mnaangalia taarifa ya habari kwenye luninga. Mara anatokea presenter mwanaume kwenye luninga kuendelea na taarifa ya habari, bonge la handsome. Mkeo anaanza kumsifia " jamani huyu mkaka mzuri utazani hakuzaliwa na mwanamke!......jamani huyu mvulana mzuri utazani ameshushwa!.....jamani wanaume wengine wameumbika yani utazani malaika!.....hebu angalia macho yake kama goroli!......Jamani sijaona mwaume mzuri kama huyu kaka......Hebu angalia ile suti yake ilivyonyooka, lazima atakuwa ameagiza Ulaya hii!" Basi mpaka taarifa ya habari inaisha mkeo ameendelea mkumsifia huyo mtangazaji. Mwisho anakuuliza.. " au mr nasema uongo?". Mwanaume mwenzangu ungekuwa ni wewe hapo sebuleni ungefanyaje? Jioni njema:lol:
 
Ningemwambia ni kweli mtangazaji ni mzuri sana yani kama alivyo miss flan hv na yey mtoto nyororo kama sufi yani akikushika tu mnara ushapanda yani acha tu ukigusa tu kweye K##a tu ushaachia wazungu na ndani ya dakika tu kitu kishanyanyuka tena yani we acha tu
 
Hapo ndo kipimo cha busara yako kitakapo onekana maana huwezi onyesha kukerwa mbele ya wakwe utakuwa tu mvumilivu afu baadae mkiwa peke yenu ndo unampa shua. Japo sidhani kama mwanamke mwenye akili timamu anawezasungumza maneno kama hayo mbele ya mumewe
 
kwa mkwe wangu nafikiri angemkaripia mtoto wake pale pale kuwa aache utoto
 
sijui ni kweli but nasikia
Maulidi Kitenge anapotangaza ndo inakuwa hivyo nyumba nyiingi....
but sijui kama ni kweli..
its funny....
 
Mmmh!! hapo busara itabidi ikae pembeni kidogo hata kama wakwe zangu wapo,yaan uvumilivu utanishinda kabisaa....
 
mwambie arudie topik ya matumizi ngeli ya kwanza hadi ya saba

a- wa, alikuwa vs walikuwa(watu)
u-i, umefurika vs imefurika (mto, mfereji)
li-ya, limevunjika vs yamevunjika (yai)??**
ki-vi, kimevunjika vs vimevunjika (kiti)
i-zi, imebomoka vs zimebomoka(nyumba)
u-zi, umeanguka vs zimeanguka (kuta)
*** hapa ziko 3, nimesahau

hapo juu penye ??*** check vizuri, nina miaka zaidi ya 20 tangu nipitie haya.
JAMANI NISAIDIENI HILI.... MM ni muhitimu wa kidato cha sita ila c ktk masomo ya lugha,sasa nina mdogo wangu anasoma o-level huwa ananiuliza utofaut wa "ya"na"wa" ktk sentensi nashindwa kumjibu,nisaidieni wana JF.
 
Ningemwambia ni kweli mtangazaji ni mzuri sana yani kama alivyo miss flan hv na yey mtoto nyororo kama sufi yani akikushika tu mnara ushapanda yani acha tu ukigusa tu kweye K##a tu ushaachia wazungu na ndani ya dakika tu kitu kishanyanyuka tena yani we acha tu
mkuu maneno hayo utayatamka mbele ya wakwe na watoto au mkiwa wawili chumbani?
 
mwambie arudie topik ya matumizi ngeli ya kwanza hadi ya saba

a- wa, alikuwa vs walikuwa(watu)
u-i, umefurika vs imefurika (mto, mfereji)
li-ya, limevunjika vs yamevunjika (yai)??**
ki-vi, kimevunjika vs vimevunjika (kiti)
i-zi, imebomoka vs zimebomoka(nyumba)
u-zi, umeanguka vs zimeanguka (kuta)
*** hapa ziko 3, nimesahau

hapo juu penye ??*** check vizuri, nina miaka zaidi ya 20 tangu nipitie haya.
hizo 3 ulizo sahau ni
u-ya
ku
pa-mu-ku.
 
hiyo ya mwisho ndo nilikuwa nimesahau.
Hizo mbili za kwanza wala sizikumbuki kabisa.
Sie tulisoma ngeli saba tu
labda sasa hivi zimeongezeka, silabasi mpya hizi

hizo 3 ulizo sahau ni
u-ya
ku
pa-mu-ku.
 
Mmmh!! hapo busara itabidi ikae pembeni kidogo hata kama wakwe zangu wapo,yaan uvumilivu utanishinda kabisaa....
Hahaaa....hasira hasara...ila mimi nijuavyo kwa wanaume huwa haiumi sana mke anapomsifia mwanaume kama ambavyo ingekuwa kinyume chake. Jaribu wewe kusifia sura tu ya binti mwingine mbele yake uone kama hujatemewa mate ya uso na kunyimwa tunda wiki mbili
 
na mimi akija demu mzuri mtangazaji naanza kumsifia hapo nadhani ngoma itakuwa droo
 
na mimi akija demu mzuri mtangazaji naanza kumsifia hapo nadhani ngoma itakuwa droo

Hahahaa.......wakwe wataona kijana busara yako ni ziro kabisa. Mnashindana kusifia watu kwenye TV?
 
Hahahaa.......wakwe wataona kijana busara yako ni ziro kabisa. Mnashindana kusifia watu kwenye TV?

Hiyo njia ikishindikana nabadilisha channel fasta halafu nakaa na remote sasa kivumbi tukienda chumbani anakula vitasa kadhaa
 
Back
Top Bottom