The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Boss, Nyumba Kubwa, AshaDii na Gaijin huku vipi mnapatikana pia au network zenu hazishikihalafu nilikwambia nitafutie jina la huu wimbo na alieimba...mpaka leo kimya...
tulia mpenzi,tulia mpenzi
tulia mpenzi nipate tulia....
salha sudi wewe ndo kipenzi changu..
tulia mpenzi tulia mpenzi
tulia mpenzi nipate tulia.....
nimewahi kumuona SAL DAVIS akiuurudia sijui kama yeye ndie alieimba
Associé (Fally Ipupa) - YouTube