Kwa wanaume na wavulana - Tell her that she is the one

Haa; du! kwa hiyo wadada wa kileo wana miss sana neno I love you.

Lakini naamini wakianza wao lazima vijana watajibu tu.

Nyumba Kubwa huyo aloambiwa wakati wa kua proposed mbona ana bahati... Urafiki wa siku hizi mnajikuta mmoja ana mimba alafu mwanamke unaanza kwa gear ya "mimi mimba sitoi" wala "nyumbani hawawezi nielewa" Jamaa anatafakari anaona "Ok. basi this weekend hamia kwangu kujitambulisha nitaenda mwisho wa mwezi.....lol
 
Hiyo miziki si kwamba siipendi; I even dance nikiwa home BUT can't dedicate to anyone kwani inaongelea third parties na si wapendanao.
Ndo maana when it comes to love naona wenzetu wazungu wametuzidi katika kutengeneza mistari.

Mkuu hapo umekosea sana.....nyumbo za taarab zinazoolengea mtu na mpenzi wake tu zimejaa tele

Nakupa hiyo kwanza moja inaitwa pita
Karibu wangu mpenzi, njoo ukae moyoni
Pita bila ya simanzi, nakuomba niamini
Naapa takuhifadhi, takulinda na majini

Nafasi ya moyo wangu, yako wewe peke yako
Nakupigia na pingu, sitompisha mwenzako
Naukae uwe wangu, niwe wako mali yako

Nazijua kwa kichwani zapata 100 zisizohusisha third party
 
Hiyo miziki si kwamba siipendi; I even dance nikiwa home BUT can't dedicate to anyone kwani inaongelea third parties na si wapendanao.
Ndo maana when it comes to love naona wenzetu wazungu wametuzidi katika kutengeneza mistari.

Hmm...basi wewe si mpenzi kikweli kweli maana ipo mingi tu inayoongelea wapendanao!

Sabalkheri mpenzi unaujua wewe?

http://www.youtube.com/watch?v=x1356G5_jUs
 
Mazee...mimi taste yangu kwenye muziki ni eclectic. Kwenye rusha roho nipo...kwenye muziki wa dansi nipo...rock and roll nipo...country nipo..hip hop and r n' b nipo.

Siku nikiwa kwenye mood ya uanamapinduzi natwanga tunes za Bob Marley, Alpha Blondy, Lucky Dube etc. Ukinikuta gym nasukuma uzito basi natwanga DMX, Wacka Flocka, Ricky Rozay n.k. Ukinikuta najisomea basi naweka Mozart au Beethoven pale kati basi kila kitu kinakuwa mzuka!

ongeza na carlos santana,yousour ndior,papa wemba, manu dibango.lokua kanza na juma bhalo hapo
 
Ni kweli mimi si mpenzi kiivyo; na siwezi nunua CD ya taarabu; nadhani nimekuwa affected na mme wangu kwani yeye hapendi kabisaaa.

But ikipigwa kwenye TV naangalia; nacheza; but I only know few kama huo wa hao walopata ajali kwa kuwa ulivuma na ulikuwa unapigwa now and then; Ila siwezi kwenda kuangalia taharabu hata bure.

Hmm...basi wewe si mpenzi kikweli kweli maana ipo mingi tu inayoongelea wapendanao!
 
umeonaeeeeeeeeeeeeeeee............................:photo:

QUOTE=AshaDii;2682876]Nyumba Kubwa huyo aloambiwa wakati wa kua proposed mbona ana bahati... Urafiki wa siku hizi mnajikuta mmoja ana mimba alafu mwanamke unaanza kwa gear ya "mimi mimba sitoi" wala "nyumbani hawawezi nielewa" Jamaa anatafakari anaona "Ok. basi this weekend hamia kwangu kujitambulisha nitaenda mwisho wa mwezi.....lol[/QUOTE]
 
kuna iwapi ile ahadi ....bibie analalama bwana hajamkubali hadi muda huo

Iwapi ile ahadi, wewe uliyoiweka
umeitupa baidi, huwezi kuikumbuka
au wafanya kusudi, nipate kuadhirika

Kudanganywa nimechoka, mwenzio nnateseka
penzi lako nalitaka, nipate kufurahika
 
Ni kweli mimi si mpenzi kiivyo; na siwezi nunua CD ya taarabu; nadhani nimekuwa affected na mme wangu kwani yeye hapendi kabisaaa.

But ikipigwa kwenye TV naangalia; nacheza; but I only know few kama huo wa hao walopata ajali kwa kuwa ulivuma na ulikuwa unapigwa now and then; Ila siwezi kwenda kuangalia taharabu hata bure.

Nyimbo za zamani full mapenzi, full watu wawili tu. Tena za kila aina, kulalamika, kufurahia mapenzi, kuomba penzi, kuli-renew, ......zote zipo, uchoke wewe tu
 
Mazee...mimi taste yangu kwenye muziki ni eclectic. Kwenye rusha roho nipo...kwenye muziki wa dansi nipo...rock and roll nipo...country nipo..hip hop and r n' b nipo.

Siku nikiwa kwenye mood ya uanamapinduzi natwanga tunes za Bob Marley, Alpha Blondy, Lucky Dube etc. Ukinikuta gym nasukuma uzito basi natwanga DMX, Wacka Flocka, Ricky Rozay n.k. Ukinikuta najisomea basi naweka Mozart au Beethoven pale kati basi kila kitu kinakuwa mzuka!
Yap!!! Arifu tuko pamoja yaani taste unazozisema ndio za kwangu
 
Nyimbo za zamani full mapenzi, full watu wawili tu. Tena za kila aina, kulala, kufurahia mapenzi, kuomba penzi, kuli-renew, ......zote zipo, uchoke wewe tu

halafu nilikwambia nitafutie jina la huu wimbo na alieimba...mpaka leo kimya...

tulia mpenzi,tulia mpenzi
tulia mpenzi nipate tulia....
salha sudi wewe ndo kipenzi changu..
tulia mpenzi tulia mpenzi
tulia mpenzi nipate tulia.....

nimewahi kumuona SAL DAVIS akiuurudia sijui kama yeye ndie alieimba
 
wangu popote alipo (hata kama anachakachua this time) coz simu yake haipatikani namtumia huu wimbo 'eta mulah muchangubana..oh zaskumendaba zaizolo amachangu bachin indaaba...'hakunaaga by sumalee'
 
halafu nilikwambia nitafutie jina la huu wimbo na alieimba...mpaka leo kimya...

tulia mpenzi,tulia mpenzi
tulia mpenzi nipate tulia....
salha sudi wewe ndo kipenzi changu..
tulia mpenzi tulia mpenzi
tulia mpenzi nipate tulia.....

nimewahi kumuona SAL DAVIS akiuurudia sijui kama yeye ndie alieimba

Duh! Boss hii nyimbo kwa kweli siijui.....doesn't ring a bell hata chembe. Usije kuwa umechanganya labda ya enzi za Siti Binti Saad huko! lol
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom