Kwa wanaume na wavulana - Tell her that she is the one

....lol...nimekumbuka mbaali!...
  • nilimwambia nampenda
  • na kwao nikapeleka posa
  • na mahari niloambiwa nikailipa
  • harusi nikaigharamikia
  • nyumbani nikamleta, na nyumba nikamkabidhi
  • watoto tumezaa..."mzazi mwanzangu" ndivyo nivyokuwa namtambulisha...
...na bado hakuamini she's the one! it take more than words and actions to express one's love.

Mbu hiyo inaitwa INFERIORITY COMPLEX
 
Mbu hiyo inaitwa INFERIORITY COMPLEX

...hivi ee?

hapana, hakuna mkamilifu duniani...
pengine mie mbu na 'wrong expressions' za mapenzi
kwa kina dada...

am not that successful/lucky kwenye uwanja huu...
blah blah nyingi tu!
 
Mie naenda kumwona nambari wani wangu...Nimemtafutia hii zawadi,

Mubarikiwe sana bandugu bapenzi/bapendwa!!

[video]http://video.greatlakesmix.com/play_audio.php?audio=4629&/Asu by MISAMBANO[/video]
 
...hivi ee?

hapana, hakuna mkamilifu duniani...
pengine mie mbu na 'wrong expressions' za mapenzi
kwa kina dada...

am not that successful/lucky kwenye uwanja huu...
blah blah nyingi tu!
Mbu umenikumbusha kitu dah bora hata usingesema maana dah kila nikikumbuka nahisi maumivu tu
 
Hizo za Zaire ndo zenyewe; za mutoto ya sukari nazipenda saaana; though when it comes to dancing again I have to find a temporary partner; hubby sio zake hizo.

Sasa hivi nachukua class ya Salsa hiyo ntamfundisha kwa lazima.

mimi ni mwanafunzi pia wa salsa...kumbe na wewe?????
 
Back
Top Bottom