Kwa wanaosoma history kiswahili & language

Finder boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
608
150
Naomba wote wanaochukua masomo ya History, kiswahili, na Language waweze kujitokeza ili tuweze kubadilishana ideas kuhusu masomo hayo, tuone nikwanamna gani tunaweza kufaulu vizuri masomo hayo nakuleta sifa nzuri kwa nchi yetu kitaaluma.
 
Hkl ,iyo kombi hata wazembe wenye iii.25 iii.24,iv.26 iv.27 iv.28,iv.29.wanafaulu labda ungesema pcb,pcm.komb rahisi iyo
 
mpiga msuli acha kudharau comb za wa2 wewe kila m2 angesoma pcb nani angeenda kumtetea dk namala mkopi, 2nategemeana katika maisha me mwenyewe pcb lkn namueshimu kila m2
 
Mh mh mh mh! PCB umeanzaje kuweka Thread ya HKL ambayo huijui. Yaani uache kuzungumzia Organic Chemestry uhangaike na HKL?
 
Thanks brother kwakuwa na mawazo ya kujenga tofauti na hao wenye kubomoa. Keep it up!
 
Mh mh mh mh! PCB umeanzaje kuweka Thread ya HKL ambayo huijui. Yaani uache kuzungumzia Organic Chemestry uhangaike na HKL?

we nawe umekurupuka 2 kwani umeona mimi ndo nimeweka hyo thread umevurugwa nini? Au unafikiri kusoma pcb ndo umewin maisha, maisha ni jinsi unavyostruggle kutoka , try 2 think big kijana
 
Kaka me ni mmoja wa aliyepiga iyo comb but kiukweli ugumu na uwepes wa masomo hutokana na mwanafunz mwenyewe. Jitahid kijana uta win necta
 
Nilisoma hyo HKL na huyo anaesema ni rahsi bs pasingekuwepo na wanaofel. Kila ki2 ni kigumu kwa anaekisoma so akina mpigamsuli heshmuni kozi za wenzenu cuz ndo zawaweka mjini! Back to ze topic:- soma sana vitabu na jenga uwezo wa kujieleza ktk insha ukhjibu maswali hasa ya vitabu kwa kumake quotations....!
 
Thanks alot.
 
we nawe umekurupuka 2 kwani umeona mimi ndo nimeweka hyo thread umevurugwa nini? Au unafikiri kusoma pcb ndo umewin maisha, maisha ni jinsi unavyostruggle kutoka , try 2 think big kijana

Samahani kamahani kama nimekusababisha povu likutoke. Pia mimi sio kijana.
 
Back
Top Bottom