Kwa wanaosoma au waliowahi kusoma udsm tu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Oya wakuu mnaosoma udsm,naomba kuuliza,ikiwa mtu umechaguliwa ud,ile admission letter utatumiwa kwa njia ya posta au utaikuta chuo,na vipi kuhusu hostel,utajuaje kama umepangwa main cumpus au mabibo hostels.natanguliza shukrani.
 
Fika hapa kwanza na ujue kila utakacho kupata. Na ukifika hapa,uwe makini.Tafakari...chukua hatua!
 
Oya wakuu mnaosoma udsm,naomba kuuliza,ikiwa mtu umechaguliwa ud,ile admission letter utatumiwa kwa njia ya posta au utaikuta chuo,na vipi kuhusu hostel,utajuaje kama umepangwa main cumpus au mabibo hostels.natanguliza shukrani.

Duh! Perry wacha haraka mwanaa.. mbona mambo badoo?? ki2 hadi mwez wa 9 mwshon uko yn
 
Oya wakuu mnaosoma udsm,naomba kuuliza,ikiwa mtu umechaguliwa ud,ile admission letter utatumiwa kwa njia ya posta au utaikuta chuo,na vipi kuhusu hostel,utajuaje kama umepangwa main cumpus au mabibo hostels.natanguliza shukrani.

hongera kwa kuchaguliwa udsm na karib sana,form utaikuta chuo na kujua umepangiwa wap kati ya cumpus au mabibo utapata kupitia mbao za matangazo chuon au acaunt yako maruf km aris.usijal sana haya yote utayajua wakati wa orientation wek inyoanza trh 17 mwz wa 9
 
ndugu yangu usiwe na hofu,ni vizuri ukaikuta chuo maana pale haisumbui hata kidogo.na suala la hostel utasoma jina lako pale ofisi za accomodation karibu na hall 5
 
hongera kwa kuchaguliwa udsm na karib sana,form utaikuta chuo na kujua umepangiwa wap kati ya cumpus au mabibo utapata kupitia mbao za matangazo chuon au acaunt yako maruf km aris.usijal sana haya yote utayajua wakati wa orientation wek inyoanza trh 17 mwz wa 9

mkuu,hyo aris naipata baada ya kufanya registration,au hata huku huku kitaa naweza kuipata?
 
.
Oya wakuu mnaosoma udsm,naomba kuuliza,ikiwa mtu umechaguliwa ud,ile admission letter utatumiwa kwa njia ya posta au utaikuta chuo,na vipi kuhusu hostel,utajuaje kama umepangwa main cumpus au mabibo hostels.natanguliza shukrani.

Ila unatakiwa utembelee website ya chuo kwanzia sasa , maana kuna form utazidownload pale ambazo ni vizuri ukazijazia ukiwa nyumbani , na ukazisoma ukiwa nyumban... Zitakupa mwanga mzima na kukujibia maswali yote uliyonayo.
 
Dogo vip,Utaipata chuoni,kuwahi kwako ndo kupata hostel,ukichelewa imekula kwako
 
DOgo karibu na ushibe kabisa mana ukija hapa kuna kitu inaitwa SUPU,CARRY,DISCO Nakushauri usiage sana mana mziki wa huku ni wa ukweee
 
Hiyo kuhusu admission letter ndugu unaikuta chuoni, na kuhusu hostel majina yote yanabandikwa Hall 7 kama ckosei na kwa wale wa Main Campus watakuwa wamekua allocated kwa halls na wale wa mabibo watakuwa allocated kwa blocks ni hvyo 2.
 
Oya wakuu mnaosoma udsm,naomba kuuliza,ikiwa mtu umechaguliwa ud,ile admission letter utatumiwa kwa njia ya posta au utaikuta chuo,na vipi kuhusu hostel,utajuaje kama umepangwa main cumpus au mabibo hostels.natanguliza shukrani.

mh dogo hujaaanza kusoma PL USHAKUWA GREAT THINKER HUKU JAMII JE UKIJA MALIZA CHUO SI UTAKUWA UNAMEDANI YA DHAHABU HUMU JF?ILA DOGO JITAHIDI UKIENDA SHULE UKASOME MAANA INAONEKANA UMEPANIA SANA..VIPI UMEPATA EDUCATION COURSE GANI?
 
Back
Top Bottom