Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
710
Habari wana jf,
katika kukimbizana na maisha ninampango wa kulima mbaazi na choroko mkoani mtwara, zinastawi sana. nipo katika mchakato wa kujua soko/wanunuzi wakubwa hapa nchini ili niwe na uhakika na ninachokifanya. pia mwenye uzoefu na kilimo cha mazao haya naomba anijuze changamoto zake.
ahsante
 
Mkuu safi sana, kwa soko la mbaazi, kuna demand kubwa sana hapo kenya, kuna wanunuzi wengi sana na unaweza ukawa una peleka mwenyewe huko.
kwa choroko sifahamu kabisa
 
komandoo.... kwa bongo dsm hakunaga? na hao jamaa ntaweza pata contact zao kweli. ninataka nirudi mtwara next month kuandaa mashamba. kwasasa naendelea kutaka kuwa na uhakika wa soko.
 
Habari wana jf,
katika kukimbizana na maisha ninampango wa kulima mbaazi na choroko mkoani mtwara, zinastawi sana. nipo katika mchakato wa kujua soko/wanunuzi wakubwa hapa nchini ili niwe na uhakika na ninachokifanya. pia mwenye uzoefu na kilimo cha mazao haya naomba anijuze changamoto zake.
ahsante

Re: Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko
 
Mkuu safi sana, kwa soko la mbaazi, kuna demand kubwa sana hapo kenya, kuna wanunuzi wengi sana na unaweza ukawa una peleka mwenyewe huko.
kwa choroko sifahamu kabisa

Kiongoz heshima mbele unaweza kuwa na mawasiliano ya hao Jamaa wa Kenya ukatuwekea hapa? kwa Dar,,ni METL ndo wananunua sana
 
Pia kuna kampuni moja inaitwa east cost ipo kurasini karib na baharini..imepakana na zamkago(mofed kwa sasa) wananunua ufuta,choroko,mbaazi,etc
 
Wakuu Kama kuna Mtu anaweza kuweka bei ya kununua na kuuza hizo Choroko na mbaazi ili na sisi tuingie huko Kwenye ujasirimali.
 
watu wagumu kusema bei, mimi hapa nilipo choroko ipo ya kutosha lakini kutokana na kutojua bei ya soko nimeshindwa kujua kama ni fursa niichangamkie. naomba mwenye kujua bei ya soko anijuze
 
chorok kwa bei ya reja reja madukani tsh 2,800/= , lina bei nzuri sana. sasa sijajua wapi lilipo soko la jumla jumla wenye uwezo wa kununua tani nyingi kama mtu akilima. mwenye kujua tafadhali! wapi Malila wapi Mama Joe wapi Kubota
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom