Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko

Kuna jamaa yangu anatafuta soko la mbaazi.hivyo ndg kituko nicheck nikuunganishe nae
 
Mimi naomba kujua choroko hulimwa hasa mwezi gani na inachukua muda gani mpaka kuvunwa
 
Habari wana jf,
katika kukimbizana na maisha ninampango wa kulima mbaazi na choroko mkoani mtwara, zinastawi sana. nipo katika mchakato wa kujua soko/wanunuzi wakubwa hapa nchini ili niwe na uhakika na ninachokifanya. pia mwenye uzoefu na kilimo cha mazao haya naomba anijuze changamoto zake.
ahsante
Taarifa nilizonazo pia naomba ufuatilie na wewe lakini kwa mazingira yalivyo huenda kukawa na ukweli,
Inasemekana ipo meli moja hua inakuja hapa tanzania kipindi cha mavuno na kukaa hapa ikinunua mzigo mpaka itakapojitosheleza inaondoka.Meli hii hununua mbaazi pamoja na ufuta pekee kuhusu choroko sifaham.Na meli hii inapoondoka unakuta tayari soko la mbaazi pamoja na ufuta linaanza kusumbua,kimsingi meli hii hupata mzigo kupitia ma agent hasa wahindi wao hukusanya kwenye ma godown nakisha kwenda kupakia bandarini.Lakini ukweli ni kwamba soko la mbaazi kwa tz hakuna ila kipindi cha mavuno soko lipo kwani mbaazi ni moja kati ya nafaka zenye bei ya juu sana sokoni.
 
Mkuu hebu nijuze hilo soko la mbaazi lilipo maana nina wadau wanalima sana
Duh, kaka mbona muda umepita?, ngoja niwasiliane na hao jamaa tena nione kama wana interest tena, nitawasiliana na wewe kama kuna chochote cha kushare
 
Nahitaji Shamba la kukodi kama hekari 20 maeneo ya Babati, mwenye taarifa kuhusu maeneo hayo pamoja na bei kwa hekari 1 naomba anijuze.

Asanteni
 
Back
Top Bottom