Kwa wanaojiita wazawa wa JF!

Sio umeperuzi ukaktana Na hizo habari.

Hauwezi pata hizo habari online hata siku moja,kuna page nzima ya Zeutamu ina 9MB nimeisave tangia 2008 ipo au kama vipi search online uone kama utazipata kwa muonekano huo wa 2008!
 
Mh! hilo nalo neno!! .......

Hata usearch kwa kutumia robot hauwezi kuzipata hizo data nilizoweka,hizo nilisave mimi kama mimi mwaka 2008 na nilikuwa guest tu wala sikuwa na mzuka wa kujiunga coz nlikuwa sipo interested na mijadala online nilikuwa busy na kujipanga,swala la internet nimeanza kuchezea computer mwaka 1995 na interrnet mwaka 1998 kujiunga yahoo email.
 
BAK.jpg


Cc: BAK
 
Back
Top Bottom