Kwa wanaojiita wazawa wa JF!

Mi hata mwezi sijafikisha ila nimepokelewa vizuri na sijaoneshewa dharau. sahv nahisi burudani. Love you all.... Mwaaah!
 
Mi hata mwezi sijafikisha ila nimepokelewa vizuri na sijaoneshewa dharau. sahv nahisi burudani. Love you all.... Mwaaah!

Kumbee?
Kuna aliyekwisha kualika walau kushare nae chakula ?
Kama jibu ndiyo basi itoshe hapo.
Kama jibu bado basi nikualike!
 
Kumbee?
Kuna aliyekwisha kualika walau kushare nae chakula ?
Kama jibu ndiyo basi itoshe hapo.
Kama jibu bado basi nikualike!

naomba mwaliko Judgement. Mi nilialika watu twende saba saba wakanichinjia baharini.
 
Last edited by a moderator:
naomba mwaliko Judgement. Mi nilialika watu twende saba saba wakanichinjia baharini.

Pole sana!
Bora wangekuchinjia Mtoni , your Corpse will b easy to found it !
Btw una sugest mualiko wa "cha mchana" au "cha usiku" ?
 
Last edited by a moderator:
Wadau huyu mvumilieni kidogo niliwaambia wahudumu wampe 3! Mie nikatoka , nimerudi naambiwa keshabugia 6!
Na sasa ana ya7 mezani , namsubiria tu amalize hii nimrudishe nilipomtoa maana naona taa zake kubwa zishazimika anaonea parking lights tu.

Povu mixer miudenda...
 
kwa niaba ya wakongwe napenda kuwaasa wachangiaji wageni kuwa watulivu na wasiwe wakurupukaji...
mkumbuke tu hata Jando lilikuwa Govi.

Naomba kuwakilisha

Hahaha.... Chomba vipi usajili San siro ... Kaingia nani katoka nani
 
hebu nendeni Facebook...
Ntoleeni ushuzi wa kachumbari hapa

Viazi at works ! Tatizo lako mwanagenzi
Ubwabwa wa shingo ukikutoka! Na marinda yako yakizoea mirindimo utatulia, mbona we mlaini tu!
Afu mbona unavijutusi vya kizamani ?
Vilivyopitwa na muda? Leta mapya bhana!
En'hee Kachumbari imefanyaje vile ?
Muheshimiwa , Kiongozi ukasema ushuzi umefanyaje ?
Hebu funguka Jf mzawa!
 
Hahaha.... Chomba vipi usajili San siro ... Kaingia nani katoka nani

Flavio roma, zambrota, nesta, gatusso, van bommel, seedorf, na pippo inzaghi wameondoka.

Walioingia ni sungusungu wa kiyahudi ambao wakija kuungana na sungusungu wa sasa basi tutaua mtu nxt season
 
Flavio roma, zambrota, nesta, gatusso, van bommel, seedorf, na pippo inzaghi wameondoka.

Walioingia ni sungusungu wa kiyahudi ambao wakija kuungana na sungusungu wa sasa basi tutaua mtu nxt season

vipi mnampango wa kwenda unbeaten kama the mighty JUVE!!! Bibi kizee yetu ya Turin! .... NedVed amewaambia vijana histroria lazima ijirudie
 
vipi mnampango wa kwenda unbeaten kama the mighty JUVE!!! Bibi kizee yetu ya Turin! .... NedVed amewaambia vijana histroria lazima ijirudie

Dah kweli Viper umetoa kali ya mwaka...
Wakati mwenzako namipango ya kubeba ndoo ya Champios league ya 8 we mwenzangu unafikiria unbeaten?
Makubwa ya bi ubwa haya......lol
 
Wajua si mara zote unatakiwa ule usemi wa kwamba ati ''Kinywa cha mzee kinanuka ugoro lakini hakikosi kuongea maneno ya bu[SUB]sara...''[/SUB]
 
Back
Top Bottom