kwa wana DUCE

umla

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
1,166
555
kwa wale wanaosoma Duce naomba kujua deadline ya course regisstration kwenye ARIS mwisho ni lini?
nawasilisha
 
Kwanini usiende kwenye department husika kuuliza hilo? mfano kama wewe ni humanities nenda kwenye department yao!
 
ahsante,lakin kwani kila department wana deadline yao
Wewe acha uvivu na huko utafeli ukienda. Habari hizi za uhakika zinapatika chuo wewe unauliza kwenye JF. Piga simu ulizia huko, au angalia kwenye website ya chuo wanaelezea. Wenzio wote wanahangaika kufanya registration we ngojea upate habari ya siku ya mwisho ni lini, ili unde ukafanye registration siku ya mwisho. Ndo utakuta siku ya mwisho ni weekend au sikukuu na watu hawapo vile vile.
 
Back
Top Bottom