Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,442
- 28,035
Wakuu kwema...
Kutokana na changamoto ya bando, nikawa natafuta mbadala wa voda, nikawapata hawa net solution...
Wameniambia watakuja kufanya survey kama ninapokaa connection itakubali, installation wanafanya kwa 300k na vifurush vinaanzia 88k unlimited kwa mwezi.
Naomba kujua kama kuna mtu amewahi tumia huduma yao anipe uzoefu kabla sijawapa pesa. Vip speed yao, stability je? Na customer care yao ikoje?