Kwa waliowah tumia internet ya Net Solution

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,307
27,604
Wakuu kwema...

Kutokana na changamoto ya bando, nikawa natafuta mbadala wa voda, nikawapata hawa net solution...

Wameniambia watakuja kufanya survey kama ninapokaa connection itakubali, installation wanafanya kwa 300k na vifurush vinaanzia 88k unlimited kwa mwezi.

Naomba kujua kama kuna mtu amewahi tumia huduma yao anipe uzoefu kabla sijawapa pesa. Vip speed yao, stability je? Na customer care yao ikoje?
 
Kuna wengine wanafanya installation 500,000tsh...Monthly subscription 70,000 unlimited
Wapigie kwa no hii utupe mrejesho +255 62 123 1427 hata mimi nimepewa ila sijawapigia!
 
Kuna wengine wanafanya installation 500,000tsh...Monthly subscription 70,000 unlimited
Wapigie kwa no hii utupe mrejesho +255 62 123 1427 hata mimi nimepewa ila sijawapigia!
Asante ngoja niwacheki pia..
 
Kwann usitumie Voda supakasi internet boss ambayo Installation service zake ni Bure kabsa
 
And monthly payment Yao ni 115000/= Kwa 20mbps na 165000/= Kwa 30mbps waeza nchek huyu jamaa 0744355811 Kwa maelezo zaid
 
Kwann usitumie Voda supakasi internet boss ambayo Installation service zake ni Bure kabsa
Mkuu super kasi ikoje?

Kwa sasa natumia kasi internet walikuwa wananipa gb 37 kwa 50k na naona wameshusha mpka 32gb
 
Kuna wengine wanafanya installation 500,000tsh...Monthly subscription 70,000 unlimited
Wapigie kwa no hii utupe mrejesho +255 62 123 1427 hata mimi nimepewa ila sijawapigia!
Nimemcheki kwa eneo nililopo kadai inahitajika kufunga dishi..
Gharama ni hizi 👇

IMG_20220504_183416.jpg
 
And monthly payment Yao ni 115000/= Kwa 20mbps na 165000/= Kwa 30mbps waeza nchek huyu jamaa 0744355811 Kwa maelezo zaid
Installation wanafanya bei gani?
 
Nimemcheki kwa eneo nililopo kadai inahitajika kufunga dishi..
Gharama ni hizi 👇

View attachment 2211532
Dish ni satelite internet haina issue,

Yaani priority yako iwe hivi
1. Fiber haina Mpinzani kama ipo Kwako Tafuta hii
2. Umekosa Fiber tumia mtandao wa simu kama Hio voda
3. Umekosa vyote viwili hapo juu, ama Huna Hela Tumia Adsl TTCL
4. Vyote vya juu hakuna (upo vijijini sana) ndio utafute satelite.
 
Experienced Advicer:

1. Vodacom
2. Zuku
3. Halotel

Hakikisha gharama za installation ni zao na kama ukizitoa wewe mkubaliane kwa kujaza form ya Mkataba/ Makubaliano kwamba ukiwa huwahitaji tena unawarudishia vyombo vyao nao wanakurejeshea Fedha yako uliyotoa mwanzoni for installation.

Waombe na uhakikishe kifaa kinachofungwa kukusambazia kiwe kikubwa kwa umbo hasa zingatia makampuni kama Huawei kifananie na Receiver ya King'amuzi, Utaenjoy!.

Ujanja mwingi sana kuanzia kwa Makampuni mpaka Mawakala. Widely open your eyes.
 
Dish ni satelite internet haina issue,

Yaani priority yako iwe hivi
1. Fiber haina Mpinzani kama ipo Kwako Tafuta hii
2. Umekosa Fiber tumia mtandao wa simu kama Hio voda
3. Umekosa vyote viwili hapo juu, ama Huna Hela Tumia Adsl TTCL
4. Vyote vya juu hakuna (upo vijijini sana) ndio utafute satelite.
Asantee
 
Naunga Mkono hoja.
 
Kwann usitumie Voda supakasi internet boss ambayo Installation service zake ni Bure kabsa
Kama una namba ya mtu anayedeal na supa kasi naomba..nimeifatilia naona itanifaa
 
Installation wanafanya bei gani?
Installation service Bure wanafunga antenna baada ya kufanya survey we walipia security deposit ya 2 months so Kwa 20mbps unalipia 230k na 30mbps unalipia 330k
 
Nchek huyu 0744355811 atakusaidia on how unaeza proceed kufunga Io supakasi internet kwako boss
 
Supakasi internet unafungiwa dish au antenna na router kubwa Kwa ajili ya wireless connection inaeza unga 32 device Kwa umbali wa 100m
 
Back
Top Bottom