Kwa waliosoma mkwawa high school miaka hiyo

Je unamkumbuka Mr mbao,unakumbuka makanyagio

Mkuu inaelekea wewe ulikuwa rada.Kazi yako kuu ilikuwa kukandika majina ya wanaoenda Makanyagio kwa Mzee Chua na Ilala kwa Nelkon (R.I.P). Bado unamkumbuka Mbao na Tende? Hujamkumbuka Mgimwa mwajiri wako?
 
mnamkumbuka matiku???enzi za vurugu za mkwawa na tosamaganga na mkwawa na highland duh ilikua ni vurugu mtindo mmoja
 
Daaah wakuu co mchezo,makwaya anaduka lake pale iringa mjini,wali wa Nelkon ulokua mtamu,Tende naye,aaahmilsikua Radah,
 
Back
Top Bottom