Kwa waliosoma bagamoyo high school(magambani)..

Az 89

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
1,658
691
Nimelikumbuka sana lile shule japo nimesoma enzi za Daffa na lulandala, jioni kama kawaida ilikuwa lazima nijae kaole!
 
dah kama sijamaliza,anyway itz among tie best high xul in tz
 
kuna mtu alikuwepo kwenye TANO SITA humu ndani?sipendi kulikumbuka lile tukio na wadogo zangu samahani sana.
 
teacher mmj anaitwa chilipwele anaiharibu sana bagamoyo, leo amehamia ofisi za mkurugenzi anapoteza mbaya, aliturostisha machine zilikuwa nyingi hadi ameamua kuzihamisha home kwake, leo anato....walimu wapya kwa sana, sijui serkal imelala?
 
siku hz naambiwa madogo wa 5 na 6 wanaenjoy ICT kwa sana/
 
Back
Top Bottom