Kwa waliopitia level ya FTC Naombeni msaada kielimu

MUIKOMA

Member
Nov 1, 2011
35
8
Wanabodi hasa mliopitia FTC
Nina mdogo wangu ambaye alihitimu FTC pale DIT course ya highway engineering na akapata B moja, C tatu, D moja na F moja, ni muda kitambo tangu ahitimu na alishindwa kusuppliment kutokana kupitiliza muda wa miaka 3 iliyokuwa inaruhusiwa kipindi hicho. Hiyo B ni ya mathematics. Nifanyeje ili aedelee na degree au advanced/higher diploma? Naombeni Michongo yenu wapendwa.
 
akiaply open university anpata bila wasiwasi mdogo wang alikua na sup mbil FTC na sasa hv yupo FTC
 
Kuna Bridging + Pre entry Courses zinatolewa na vyo kama MUST(Mbeya University of Science & Tech'), DIT na Arusha, Kwa mwaka huu mmeshachelewa.
Labda msubiri mpaka mwakani au mtafute njia nyingine kwenye vyuo mbadala, and in most case it will lead to different discipline from Engineering.
 
Back
Top Bottom