Kwa wale wa chadema jiulize hili swali

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
[h=5]Embu jamani jiulize umenunua gari na unalipenda ile mbaya ukafika TRA kulipia ukapewa namba hizi T666 CCM halafu wewe ni mfuasi damu wa Chama cha upinzani mf CHADEMA. utafanya nn?[/h]
 
Kuna pikipiki nimeina maeneo ya usa river. Ina namba T.....CCM,daaah cjajua mmiliki wa hyo pikipiki ni mfuasi wa chama gan coz pande hz magamba cdhan kama wapo.ila me kwa upande wangu naahirisha la sivyo nabadil gar or hyo pikipiki.
 
mkuu hata mimi nimeiona hiyo pikipiki(nadhan itakuwa ni hiyo uliyoiona) pande za usa river
 
Back
Top Bottom