ha ha haaa!Inkindigiri
Mmmhh! Haka kamiss nomaWala hujakosea
Hao sio wa mchezo mchezo!Heeeeh. ! Wajaluo wako vizuri sana hao ....wewe muulize atakueleza...
Karibu na kanisa Katoliki.Kiabakari sehem gani?
NyakoDuuuuh...mimi nafahamu mvulana kwa kijaluo anaitwa OMERA vipi msichana.... miss.??