Wale wenzangu wa mwanamke uzuri, nidhamu shule. Pitieni hapa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Je, Wajua Kuwa Haya Ndio Makabila Yenye Wanawake Wazuri (Warembo) Tanzania ?

1.Wambulu (Manyara)
2. Warangi (Kondoa)
3.Wanyiramba (Singida)
4. Wanyaturu (Singida)
5. Wahaya (Bukoba)
6. Wanyakyusa (Mbeya)
7.Wapare (Kirimanjaro)
8.Wachaga (Kirimanjaro)?
 
wambulu wanapaishwa sana, ila me wengi wanapenda ke weupe kwahiyo poa, wambulu, wanyaturu wataongoza

mimi naomba niwasifie wasukuma aisee, kule kuna pisi
Kuna chuma za kimbulu zimekamilika mkuu achana na weupe tu , wana nywele ndefu ,nyuso nyembamba na vipua vya kuchongoka , labda kwa dada zetu wachaga mtoa mada awatoe apo.

Ila chuma za kisukuma ni za moto sio mchezo , pia kuna wanyambo wa bukoba.
 
Back
Top Bottom