Kwa Wale ndugu zetu wanaopenda kuja huku Ughaibuni hebu angalia hii picha ya hapo

Kwa uelewa wangu mdogo nilionao ni kwamba huko ulaya kuna kipindi cha snow na kile kipindi cha summer na sio kweli kua siku zote kuna snow
ni kweli lakini kipindi cha Summer kinaanzia mwezi wa Sita mpaka Mwezi wa Tisa ndio summer inakwisha miezi inayofuata huwa inaanza baridi kidogo kidogo mpaka inakuwa tena baridi kali unaweza usitoke nje ya nyumba yako. Na kila wakati unakuwa unasikia njaa ya kula kwa sababu ya Baridi. Karibu mkuu unakaribishwa sana huku
 
edinburgh hakufaiii too much snow roads are too dangerous to drive.Uk government doersnt have enough salt minerals for these.OMG Msije jamani mwaweza kuganda kwa barafu loooooooooo

Aaah acha unafiki wewe, ina maana mwili wako umekuwa tofauti na miili ya hawa uliowaacha huku kana kwamba wao wakija huko wataganda!!!! Mbona wewe hujaganda na mpaka umeweza tuma hii post. Acha kujishebedua wewe...

Sema tu ulitaka kutuambia kuwa uko Edinburgh na sasa ni baridi kali... basi.

Wabongo bwana, wakitoka kidogo tu kwenye vumbi wanajiona tofautiiiii. Dah!!!
 
Kweli nimeondoka miaka 20 iliyopita tangu Enzi zaMzee wa Ruksa utawala wake ehhh kazi kweli kumekuwa kuzuri Dar? Nasikia Dar mnatumia mjini umeme wa Majenerator? kukingia usiku Dar Kelele za Majenerator kama mpo kwenye Ma Jumba ya Disko makelele mtindo mmoja Mjini Dar

kumeharibika Wizi ukabaji,ulevi na kila kitu kibaya kipo hapo Dares-Salaam inanuka kwa kila kitu nyumbani lakini kuna matatizo ya kumwaga sana Eeeh Mwenyeezi mungu Waajaalie Viongozi wetu wa Serikali waipende Nchi ya walala hoi Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania Amina.

Kweli bwana...kwani wewe mwenzetu leo unabebea mabox wapi? umeme unauenjoy vipi wakati masaa yote unabeba mabox kwako unaposhare na wenzako 6 umeme umezimwa...wakijua wenyewe watakurudisha huku mnawabana wenzenu huko...njooni huku
 
ni kweli lakini kipindi cha Summer kinaanzia mwezi wa Sita mpaka Mwezi wa Tisa ndio summer inakwisha miezi inayofuata huwa inaanza baridi kidogo kidogo mpaka inakuwa tena baridi kali unaweza usitoke nje ya nyumba yako. Na kila wakati unakuwa unasikia njaa ya kula kwa sababu ya Baridi. Karibu mkuu unakaribishwa sana huku


wewe kazi kukaribisha wenzako kwenu huko? Mkaribishe mtu Tanzania sio huko....##$#$$#$$....Jibu basi unafanya kazi kwenye mabox ya wapi..? au ndio mzee wa kuchanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom