calist91
Member
- Jan 23, 2012
- 43
- 22
imsy messenger for JAVA..ni kama whatsapp app..ni support cmu nyingi xana tena xana, yaliyomo katika imsy ni inakusaidia ku2miana picha,kuchart na much more like update status on facebook,pamoja kupata notification directly to your phone..all you have to ni download and then follow instruction ni rahisi na iko poa..angalia hapa na udownload www.imsy.com