kwa wale ambao hawawezi kudownload whatsapp..this is for you!

calist91

Member
Jan 23, 2012
43
22
imsy messenger for JAVA..ni kama whatsapp app..ni support cmu nyingi xana tena xana, yaliyomo katika imsy ni inakusaidia ku2miana picha,kuchart na much more like update status on facebook,pamoja kupata notification directly to your phone..all you have to ni download and then follow instruction ni rahisi na iko poa..angalia hapa na udownload www.imsy.com
 
imsy messenger for JAVA..ni kama whatsapp app..ni support cmu nyingi xana tena xana, yaliyomo katika imsy ni inakusaidia ku2miana picha,kuchart na much more like update status on facebook,pamoja kupata notification directly to your phone..all you have to ni download and then follow instruction ni rahisi na iko poa..angalia hapa na udownload Imsy Social Messenger for your Mobile Phone

ungeiweka hivyo katika link ili mtu anayeitaji iwe rahisi kuingia..
 
Tatizo la hivi vitu ni kuwa inabidi watu wengi wawe wameinstall ukiwa peke yako haina maana.

Ukicheki Android
Imsy Instals 1000 - 5000
WhatsApp Installs 10,000,000 - 50,000,000
 
Tatizo la hivi vitu ni kuwa inabidi watu wengi wawe wameinstall ukiwa peke yako haina maana.

Ukicheki Android
Imsy Instals 1000 - 5000
WhatsApp Installs 10,000,000 - 50,000,000

Sasa unafikiri bila ya watu kuinstall na kuipromote itafikia hyo whatsapp? Me i got both bt we have to Enable otherz to Chat like Us..lets be fair jamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom