Kwa wakina dada tu; Kuna nini kwa waume wa wenzenu!!!

Babu Lao

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
2,043
179
Wakuu nimekaa na kutafakari hii tabia mpya ya hawa kinadada zetu.. Unamkuta msichana mzuri ana kazi nzuri na elimu ya kutosha, ukimtaka anakwambia eti alishaumizwa sana na anaogopa kuumizwa tena hivyo hataki kuwa na kijana anataka watu wazima au vijana hawajui kulea.... Na kweli anaanzisha uhusiano wa kimapenzi na mume wa mtu, sometimes mpaka kufikia kuzaa. Hii iko sana maofisini!!!
Sasa swali ni je kati ya huyu kijana na huyo mzee nani atakuumiza.... mzee una uhakika kila siku lazima arudi kwa mkewe na kuchakachua na huna uhuru nae... Au kuna hidden agenda na hawa wazee????
 
Hao wadada wa aina hiyo hawana lolote zaidi ya kupigia hesabu waume/wapenzi wa watu, tena wanakuwa wameshajiandaa hata kabla hujaanza kumtaka.
Na wanawake wa dizain hiyo huwa hawapendi wanawake wenzao
 
Mh, CPU, mbona we umeoa lakini nilikubali haa haaa au ndo unataka kunimwaga wangu?
 
Daaah! Ona sasa jamaaaaaaaaniiiiiiiiiiii . . . . .khaa! Umeshaniumbua mwenzio sasa Mamushka
Ila mi nilisemaga tu nimeoa siku zile tu, saa hizi sijaoa lol
 
wote wako likely kuumiza mwanamke.......unajua wasichana wenye attitude hiyo hawapendi pia usumbufu au yale majukumu ya kuwa mke.....wanapenda uhuru wao na fact kuwa wanafanya maamuzi yao wenyewe si kwakuwa ni wajibu kufanya......wazee wanatunza pia,hawana conditions lukuki na kukuganda kwa sana pia shughli yao si kubwa kwa walio wengi,wanalinda ndoa zao kwa wale wasio kuwa na wake kwahiyo adabu debe ili usilete za kuleta kwa nyumba kubwa......Babu laooooo.......upo juu na huyo bidada wako.....:laugh::laugh:
 
Hahaaa kumbe ulikua unanidanganya umeoa ili nisiweke kambi mh sikuamini.
 
hao ni vicheche hawawezi kukaa na mmoja wakamtunza kama mume....wanachukua waume za watu kukwepa commitments....mume akiwa na mkewe na yeye anakuwa na uhuru wa kufanya atacho!!.....:coffee:
 
wote wako likely kuumiza mwanamke.......unajua wasichana wenye attitude hiyo hawapendi pia usumbufu au yale majukumu ya kuwa mke.....wanapenda uhuru wao na fact kuwa wanafanya maamuzi yao wenyewe si kwakuwa ni wajibu kufanya......wazee wanatunza pia,hawana conditions lukuki na kukuganda kwa sana pia shughli yao si kubwa kwa walio wengi,wanalinda ndoa zao kwa wale wasio kuwa na wake kwahiyo adabu debe ili usilete za kuleta kwa nyumba kubwa......Babu laooooo.......upo juu na huyo bidada wako.....:laugh::laugh:

Michelle yawezekana sisi ni ndugu, hebu tufanye mpango urudi nyumbani!!!
Haiwezekani ukawa unawaza na kufikiri ka ninavyotaka kufikiri........:clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Kuna thread moja inasema Mother house VS Infii!!
Ni nani anapata furaha na maupendo nk nk nk,
 
Michelle yawezekana sisi ni ndugu, hebu tufanye mpango urudi nyumbani!!!
Haiwezekani ukawa unawaza na kufikiri ka ninavyotaka kufikiri........:clap2::clap2::clap2::clap2:

Nilishatambua siku nyingi mimi nawewe twaweza kuwa ndugu....ila nikaona nisiwe na speed sana.....nafurahi uki-comment na napenda busara zako na pale unaponitakia baraka....it makes me feel good.....nitarudi nyumbani usijali,unajua tena hawa baba zetu.....huwezi jua....lol
 
Nilishatambua siku nyingi mimi nawewe twaweza kuwa ndugu....ila nikaona nisiwe na speed sana.....nafurahi uki-comment na napenda busara zako na pale unaponitakia baraka....it makes me feel good.....nitarudi nyumbani usijali,unajua tena hawa baba zetu.....huwezi jua...
.

Ha ha haaa...mtafanana sana mwaka huu!
 
Nilishatambua siku nyingi mimi nawewe twaweza kuwa ndugu....ila nikaona nisiwe na speed sana.....nafurahi uki-comment na napenda busara zako na pale unaponitakia baraka....it makes me feel good.....nitarudi nyumbani usijali,unajua tena hawa baba zetu.....huwezi jua....lol

Cku unarudi nambie tuandamane ili ukanitambulishe kabisa.
 
wote wako likely kuumiza mwanamke.......unajua wasichana wenye attitude hiyo hawapendi pia usumbufu au yale majukumu ya kuwa mke.....wanapenda uhuru wao na fact kuwa wanafanya maamuzi yao wenyewe si kwakuwa ni wajibu kufanya......wazee wanatunza pia,hawana conditions lukuki na kukuganda kwa sana pia shughli yao si kubwa kwa walio wengi,wanalinda ndoa zao kwa wale wasio kuwa na wake kwahiyo adabu debe ili usilete za kuleta kwa nyumba kubwa......Babu laooooo.......upo juu na huyo bidada wako.....:laugh::laugh:

Sasa hili demu linalonichukulia mimi mume wangu mbona halijui haya na ni msomi? au degree zile za chupi? khaa chalii hakuna rangi naacha ona aisee! ila mwaka huu haupiti nina mpango kabambe tehetehetehe
 
haya mambo yapo sana tu,ila humu mtu ku admit,si rahisi,watu wanaogopa madongo,aliekuwa mkweli ni da sophy tu,alitupiwa madongo,ila na yeye alielezea sababu zake.
 
Du!, hata mimi nimeshuhudia haka katabia!, wapo wengi ni kama ka fasheni fulani hivi, ila kilichowazi huwezi wakuta kwa mwanaume mtu mzima asiye na pesa, wote ni kwa wenye nazo
 
Wadada bwana . . . . wanaombana ushosti kwa KUFANANA maandishi ya JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom