Not at all dada. Ni tu kwa sababu hiki kimekuwa kama kitendawili kwangu kwa muda mrefu sana.Zamani nilikuwa nawaona dada zangu wakichoma nywele ili zinyooke. Leo hii nina mabinti wawili, jabo bado wadogo, lakini huwa nawaangalia kila siku wanavyohangaika na nywele zao. Kijamii, sio siri kwamba urembo wa nywele unapewa kipaumbele sana na dada au wake zetu. Leo hii ni nadra sana kwenda kwenye kumbi za starehe na kuwakuta wakina dada wenye nywele zao asilia, AU NAPPY HAIR!!!