Kwa wakina dada tu: Is your HAIR real?

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,485
372
Is your HAIR real? I know it's an inappropriate question no matter what, but.............. naomba niulize

COMMENTARYchristianaWEB-701x1024.jpg
 
Not at all dada. Ni tu kwa sababu hiki kimekuwa kama kitendawili kwangu kwa muda mrefu sana.Zamani nilikuwa nawaona dada zangu wakichoma nywele ili zinyooke. Leo hii nina mabinti wawili, jabo bado wadogo, lakini huwa nawaangalia kila siku wanavyohangaika na nywele zao. Kijamii, sio siri kwamba urembo wa nywele unapewa kipaumbele sana na dada au wake zetu. Leo hii ni nadra sana kwenda kwenye kumbi za starehe na kuwakuta wakina dada wenye nywele zao asilia, AU NAPPY HAIR!!!

knots1.jpg
 
Inategemea ntu na ntu.

siku hizi kuwa na nywele zako kumeanza kukubalika kikogo kidogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom