Kwa Wafanya biashara wote wa KINONDONI/TEMEKE

Strawberry

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
274
108
C:\Users\TCCIA\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

FAHAMU HAKI ZAKO KABLA YA KULIPA KODI
TANGAZO
CHAMA CHA WAFANYABIASHARA (TCCIA) KINAKUKARIBISHA KWENYE MKUTANO KUHUSU MATUMIZI YA MASHINE ZA KODI ZA KIELETRONIKI (EFD) NA MASUALA MBALIMBALI YAHUSIANAYO NA KODI. MBALI NA MKUTANO WAALIKWA WOTE WATAOBWA KUSHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA. WILAYA YA TEMEKE MKUTANO UTAFANYIKA KESHO TAREHE 20/03/2013 UKUMBI : MGULANI JKT KUANZIA : SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI WILAYA YA KINONDONI MKUTANO UTAFANYIKA KESHO TAREHE 20/03/2013 UKUMBI : ROMBO GREEN VIEW- SHEKILANGO- UBUNGO KUANZIA : SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI KUFIKA KWAKO NDIO MAFANIKIO YA MKUTANO HUU.
 
Back
Top Bottom