Kwa wadada tu wakaka hamuhusiki hapa

we utashauri kicheche utaweza?

kawaulize dada au shangazi zako kama kabla ya kuolewa walikuwa na mmoja and the only mmoja.wakaka mnajiona wajanja mnazungukwa ile ni aje, cha muhimu mdada usikubali kumegwa na wawili kipindi kimoja.ukiwa na JAMES usimegwe na kimaro ila muweke standby
 
kawaulize dada au shangazi zako kama kabla ya kuolewa walikuwa na mmoja and the only mmoja.wakaka mnajiona wajanja mnazungukwa ile ni aje, cha muhimu mdada usikubali kumegwa na wawili kipindi kimoja.ukiwa na james usimegwe na kimaro ila muweke standby

we mkali
 
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.

Sema MIMI NI MNGONI, sasa unaposema mama yangu mchaga na baba Mngoni unataka tuekuelewe vipi? au sema kabila langu mimi ni MNGONI hayo ya mama mchaga sie hatuyajui. Pili HUFAI HATA KWA MCHUZI WA DAGAA UNAWAPANGA KWA KUTAFUTA KUOLEWA hahahahahaa utatumika mpaka ushangae!!!!!!!!!!!!!!
 
kawaulize dada au shangazi zako kama kabla ya kuolewa walikuwa na mmoja and the only mmoja.wakaka mnajiona wajanja mnazungukwa ile ni aje, cha muhimu mdada usikubali kumegwa na wawili kipindi kimoja.ukiwa na JAMES usimegwe na kimaro ila muweke standby

kazi ipo
 
Sema MIMI NI MNGONI, sasa unaposema mama yangu mchaga na baba Mngoni unataka tuekuelewe vipi? au sema kabila langu mimi ni MNGONI hayo ya mama mchaga sie hatuyajui. Pili HUFAI HATA KWA MCHUZI WA DAGAA UNAWAPANGA KWA KUTAFUTA KUOLEWA hahahahahaa utatumika mpaka ushangae!!!!!!!!!!!!!!

Chimunguru hiyo inaitwa Assembled in California, Made in China, Used in Tanzania
 
hahahahaa!!! habari yake binafsi!
Kuna mtu anatafuta Loan Board hapa badala ya Mume.
sitaki ona wanangu wanaandamana kisa LOAN BOARD, NATAKA WASOME BILA PRESHA, nachanganyikiwa sana na pesa za wamarangu ila nampenda masai ile mbaya.
 
now eat your first words

Unajua pale aliposema wako katika level nilijua perhaps mmoja ndo mchumba,hawa wengine they are just good friends ambao anao.
Nilikuwa na rafiki ambaye alikuwa na mchumba but with alikuwa na friendship na wanaume wengine wawili,uchumba ukavunjika kwasababu za ukabila,then katika wale marafiki mmoja alimuoa miezi mitano baadaye,so nilifikiri Marytina yuko na relationship ya aina hii........:plane:
 
marytina,
Do not go where the path may lead, go instead where there is no path and leave a trail.
 
Sema MIMI NI MNGONI, sasa unaposema mama yangu mchaga na baba Mngoni unataka tuekuelewe vipi? au sema kabila langu mimi ni MNGONI hayo ya mama mchaga sie hatuyajui. Pili HUFAI HATA KWA MCHUZI WA DAGAA UNAWAPANGA KWA KUTAFUTA KUOLEWA hahahahahaa utatumika mpaka ushangae!!!!!!!!!!!!!!
elewa wewe chimunguru, ninamahusiano katika levo tofauti na hao wakaka hata masai mwenyewe bado sijampa ishu.NACHEZA KIJANJA WANAUME HAMNA MAANA
 
unajua pale aliposema wako katika level nilijua perhaps mmoja ndo mchumba,hawa wengine they are just good friends ambao anao.
Nilikuwa na rafiki ambaye alikuwa na mchumba but with alikuwa na friendship na wanaume wengine wawili,uchumba ukavunjika kwasababu za ukabila,then katika wale marafiki mmoja alimuoa miezi mitano baadaye,so nilifikiri marytina yuko na relationship ya aina hii........:plane:

good that you have known whats up!
 
Back
Top Bottom