Kwa wadada tu wakaka hamuhusiki hapa

Bi dada upo, ulipotelea wapi mamii?

Mi naona aolewe na wote tu, si wote ako nao hadi leo

Kwanza kabisa sifagilii watu wanaopanga wenzao mstari!So unfair maana wenyewe unaweza kuta wamefika kumbe wako kwenye majaribio!!Ushauri..pesa zinaisha kwahiyo ukizitumia kama kigezo cha kuolewa baadae mambo yakaenda ndivyo sivyo ndo mwanzo wakutengana kwasababu hutokua na mapenzi ya kweli!Kama unampenda Mmassai yeye ndo anakufaa!Kama ni pesa mtatafuta pamoja!
 
wewe bigitaria nimesama wanaume hamuhusiki manake mpo kutukandia tu wadada, niwe na mmoja akinipiga chini nianze tena kuweka mitego ntanasa lini au unataka niolewe uzeeni au nikose kabisa wa kunioa? UMBEA TU HI THREAD NI KWA WADADA .
ha ha ha ha...., mbona utatokwa mapovu dadaaa, ni mtazamo tu.!
 
Unakosea mpenzi kufanya hayo.mwanaume mmoja anatosha,akikumwaga unaishi peke yako kwani mwanamke bila kuolewa inawezekana.inaonyesha hujiamini mtoto wa kike unafikiri kuolewa ndio mwisho wa matatizo.tengeneza mazingira yakuishi kwa kutegemea pesa zako.au hukwenda shule mpenzi unategemea fadhila ya wanaume?anaweza akakuoa na bado akakumwaga.jiamini mtoto wa kike.wanaume sio watu wa kuwawekea dhamana.

Umesema yoote!
asante sana
 
marytina yaan kama ingewezekana uje mtaani kwetu ujionee namna wasichana wanavyosumbuka kubembeleza ndoa ungerudi huko AR umlazimishe huyo masai atangaze ndoa haraka.hivi mabint mboma kama hamna akili timamu?hela zitawafikisha wapi?tena huyo masai ana kazi (nanukuu ADMINISTRATOR wa tour company) na angekuwa muokota chupa za maji ya uhai bongo(ajira au radhi za rais JK kwa masikini) ungempa hata mkono akubusu?

kwasabab anamkuna vzur angekua nae tu ila machoni ingemkera.mbona mamaye alienda ungonin hakubak marangu?chezea mngon weye..penz kwanza pesa baadaye..km vp aniunganishe kwa mmasai nimuoneshe kaz
 
michalle nani kakwambia naenda marangu? niliyowaeleza ni changamoto nazoziwazia ila moyo wangu upo kwa masai,siku ya maandamano ya chadema ARUSHA nilimpiga ban asiende manake staki hata aguswe na jani la mti.

We naye ni wale nataka stak,si utulie mpendwa
 
Wape tuu utakavyo mwaya kwani tulinunua hizi papuchi? si tuliziona tukiwa wakubwa tuu na kujua kumbe kazi yake ni kuzamishwa kitu cha inchi sita. Isitoshe huwa inatanuka na kisha hujirudia hali yake ya kawaida shida iko wapi?
 
Inakila upande wako muda sii mrefu. Alafu uanze kuokoka na kwenda kusumbua Wachungaji kwamba una mikosi maana kwanza hujitambui kabisa endelea kusoma Coment then mwishoni useme umepata jibu gani.
 
Back
Top Bottom