Kwa Wadada na Wakaka, Vijana na Wazee

Maamaa Arsenal (Michelle) hapo unamaanisha nini? I mean hapo kwenye hivyo vikatuni.
Umeniacha njia panda dada angu!

yaani ni kama umeshaamua namna unayotaka kuendesha na kuishi maisha yako....sasa sielewi umeuliza ili iweje? manake umesema...ukweli ni kuwa...... then ni bora........!!! why did you ask if your mind is made up already?:smash:
 
Ha ha ha haaaa unanivunja mbavu! anyway unasound good kabisa.......nauliza ili kujuwa watu wanachukuliaje kitu mapenzi na changamoto hizi za kukatisha tamaa. So kupitia coment za watu kama nyinyi naweza pata something which can change ma mind.
 
Hayo yote uliyoniorozeshea hapo watu wameshaniambia sana. Lakini nikiangalia mambo yanayotokea huku mitaani yananikatisha tamaa kabisa ya kuwa na mpenzi permanent au kuoa. Na sasa nimeamua kuwa F.F.F (triple f)

Hapa ndio panapokuponza. Hivi kujenga uhusiano wako na mwenza wako unategemea kuangalia yanayoendelea mitaani kwingine???
Kwa vile shamba la mahindi la jirani limeshindwa kutoa mazao mazuri basi unaanza kuamini mahindi yote hayatoi mazao mazuri???
Panda mahindi yako kwa mbegu bora, palilia, weka mbolea halau uone kama hayajatoka mahindi manono ya kuuza hata ulaya kwa bei mbaya
 
Ni kweli Dada unaweza panda mbegu bora,kupalilia,na kumwaga mbolea safi ili upate mavuno bora kimazao.
Lakini dada kumbuka kuwa kuna nyani wanaopenda kuvamia mashamba kama hayo na kuyateketeza yote kwa kula mazao.
Kwa mademu wa Bongo (simaanishi wote) wengi wao hawana imani wanaweza kumkaribisha nyani ili ale mazao yangu.
 
Back
Top Bottom