Kwa wachaga tu.

Hahaha! Umekula senksi meku! Na kuna ile ya madingi kupiga mizinga kiaina: Kijana wangu wakati ukiwa mdogo ulikuwa una akili sana, nakumbuka ulifokuwa na miaka miwili ulikuwa unanipenda sana kweli. Hukutaka mtu mwingine akubebe asee! Unakumbuka wakati ukiwa na miaka mitatu nilifokubeba ukanikojole.a? mama yako alitaka kukushapa nikamkatasa. We kijana wangu kabisa, tumetoka mbali. Ndio maana kila siku nilikuwa nakuombea kwa Mungu ufanikiwe katika maisha!............ Hapo mzee si chini ya buku mbili lazima ikutoke! LOL!
Wakati anaendelea kukata hiyo stori akija mtu kama vile anataka kusupoti au kubisha utasikia" nyamasa ki -ja -naa, kwansa wewe ni mtoto ndoko sanaa, usinifunjie heshima hapa, unataka kujifanya unamjua huyu kuliko mimi? kwa taarifa, mama yako anaolewa mimi naona kwa macho yangu, alaah! watu wengine banaa!" Tuendelea kijana wangu, hifi nilishia wapi filee!
 
Mmeeku angalizo kwenye hii red tafadhali.

H aha ha ha ha ha, thats xspin umenichekesha sana, vipi kuhusu WAMA NA WANDE? unafahamu chochote hapo????
 
Moshi hapatoshi, Full shangwe hapa XSPIN hapa NGULI, NA Ngera ya MSESEWE KYACHAKICHE yuko NJIANI anakuja.
 
Na kweli hapo kata za pombe lazima ziwe nyingi vilabuni. niliwahi kuishi huko uchagani na kipindi cha x mass usiseme, wanakuja wachaga wenhi sana na kuondoka januari
 
Jamani mmenikumbusha mbali sana, mie ndio natoka Arusha kwenda Moshi, pale ninunue kitanda na Godoro tayari kwa safari ya kwenda Kirua Vunjo kwa kutumia usafiri wa pick up,
xmass nachinja mbuzi kama 2 na vyuku wakutosha.
NASIKIA JAM IMEANZIA CHALINZE
 
mani unanunua kitanada na godoro unataka kwenda kupiga ngwara umteke binti wa kichaga aliyetoka daslamu mangi angu aisee.uangalie tu me manake kuna ngoma sasa mangi
 
Kipindi hiki ndo mabinti wanapigwa mitama na kubebwa na kwenda kuolewa kinguvu,uuuuwiii! Ikifika saa moja usiku mama hajaona binti yake roho juu juu anajua tayari vijana wameshabeba mzigo.
 
Back
Top Bottom