Kwa vijana wenzangu wa kiume mliopo katika uchumba sugu 2021 fanyeni maamuzi magumu

...UCHUMBA SUNGU solution Ni Kutia Mimba ...Usugu unaisha Uchumba unakuwa na lain lain..
Ushauri mzuri huu...mwaka wa kumi na Moja huu kwenye uchumba...Ngoja niongee na Mkulungwa.
 
Uchumba sugu sio mzuri, lakini unasaidia saaana kujua tabia za mwenzi kwa undani.

Kama kuna mambo alikuwa anafake, mkikaa miaka mi3, Mi4 au mi5 hapo utakuwa ushajua mbivu na mbichi, kusuka au kunyoa.

It worked for me once, though impact yake siyo nzuri kwa jamii, wanakuona hueleweki, muhuni muhuni tu, lakini wewe unajua unafanya nini.
Sasa mkuu miaka 5 unamuoa wa nn? Maana usha mchoka kabisa hapo
 
Hii ni kwa wanaume wenzangu wote mliopo ktk mahusiano na watoto wa kike zaidi ya miaka miwili unakwenda wa tatu ukiona miaka mitatu imekamilika tambua ya kwamba upo ndani ya danger zone........

Ukiona umeshafikisha miaka mitatu kama ulikuwa unacheza basi anza kutulia kama ulikuwa haujajipanga basi anza kujipanga kwani mwanamke akishafikia hatua hiii huwa anaanza kuangalia mwelekeo wa maisha kwani out of you

Kuna watu wameshamtongoza na wameahidi kumuoa anawasikilizia

Kama alikuwa hana mtoto anaanza kuwaza swala la mimba atapewa na Nani ukionekana unazembea zembea kutia mimba kuna mjanja atakuja kutia mimba

Kama kujitambulisha kwao haujajitambulisha safari ya mahusiano inafikia mwisho

Hivyo tunawakumbusha wanaume mliopo ktk uchumba sugu ndani ya miaka mitatu mjipange
 
Kwa asilimia fulani nakuunga mkono mtoa mada. Nakubaliana na wewe kwamba unapoanzisha mahusiano mwanzo hamtowaza kuhusu malengo sababu kila mtu anakua latika hali ya kumsoma mwenzie au kufahamu tabia ya mwinzie na vitu vingine kama hali ya kimaisha kuanzia familia mpaka wewe mwenyewe.

Baada ya kipindi fulani sasa ndo anaanza kuwaza future sasa kama katika kipindi hiko chote hujajipanga kwakweli hapo kitakachofuata ni visa, ugomvi maneno ya hapa na pale na ndani hakutokalika tena utaishia kujichelewesha ili mradi uchelewe kirudi uepuke migogoro mwishowe utakimbiwa tu...

TUTAFUTE PESA KWANZA.
 
Ni hatari sana aiseee
 
Back
Top Bottom