Kwa usaliti huu CHADEMA mtabakia wasindikizaji wa CCM milele na kamwe nchi hii hamtokuja itawala

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Masikini ! hela ya ofisi Ndogo inaliwa kijinga kweli ! Yaani huyu naye atapewa posho kweli ? Ni heri arudishwe TAMBWE HIZZA ( hata kama kachoka ) , kitengo kimepwaya sana !
 
Akili ya samaki....
Slaa hachafukiki...
Hela za kanisa! MBONA KANISA LILISHASEMA HALIJAIBIWA HELA YOYOTE?
Yawezekana akili yako si nzuri

Hivyo huyo Slaa kiongozi wa Dini hajaiba mke wa watu na kuvunja ndoa yao, Na jee hajamtelejeza mke wake na wanawe. He was a failure in The church na atakuwa failure everywhere on earth. Amemsaliti Mungu kweli atamuone huruma mkereketwa.

Bangoo kaazime Akili zako zimeoza
 
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Masikini ! hela ya ofisi Ndogo inaliwa kijinga kweli ! Yaani huyu naye atapewa posho kweli ? Ni heri arudishwe TAMBWE HIZZA ( hata kama kachoka ) , kitengo kimepwaya sana !

Always ukweli unauma sana, na kama chadema walivyopuuza nafasi ya viongozi baadhi na kuappriate wengine kutokana na sababu wanazozijua wao siku watakuja kumbuka na hakutowafaa kukumbuka huko. Muda utasema.
 
Masalia wote waliotemwa na waliokuwa watumishi ndani ya serikali ya ccm huku wakiwa na kashfa mbalimbali mbaya walipotemwa na kukimbilia chadema wamegeuka lulu na wale wapiganaji waliokiweka chadema kwenye ushindani wa vyama vingi wamefanywa si kitu.
Mfano ni Dr Slaa; huyu mzee ametoka ccm na mpaka leo anamiliki kadi ya ccm lakini la kustaajabu ni kubakia cdm kama mfalme na leo amekuwa tegemezi la chama katika uchaguzi ujao.
Ni huyuhuyu mzee Slaa aliefuja pesa za kanisa akiwa mtumishi ndani ya ccm na baadae kuibukia chadema na kufanya yaleyale aliyoyafanya akiwa ccm kwa kujikopesha mamilioni ya ruzuku za chama ambazo kimsingi ni mali za walalahoi na hii sio shutuma kwani amekiri bado amebakia kuwa hero wa chadema na waliojitolea mali, muda na nguvu zao kukistawisha chama wamekuwa zero mbele ya viongozi wa chadema na baadhi ya wafuasi.
Ni huyuhuyu mzee Slaa ambae kwa support anayopata kutoka kwa wamiliki wa chama amekuwa dikteta wa kufurumusha wanachama asiowapenda na hatimae wamegeuka mwiba kwa cdm wakiwa ccm bado anabakia kuwa kipenzi cha viongozi na wafuasi kadhaa wa chama hiki.
Je ni ipi siri ya kukubalika huku kwa dr Slaa kwa wanachadema pamoja na maovu yote ya kukihujumu chama?
My intake,
Kwa usaliti huu chadema hamtokuja pata ukombozi mnaoupigania kwa miaka kadhaa na ni wazi kwamba chama kitabakia kikisindikiza Ccm kila uchaguzi.

Duh!

Hii kali ya mwaka! Sijui jamaa alimaanisha nini hapa? Maana povu limemtoka kiasi kwamba hata hajui alicho andika.

Hili ndio tatizo la "KUBINAFSISHA AKILI".

hata muda wa kuhoji alicho kuagiza BWANA wako unakuwa huna ili mradi ukaandike kinacho mfurahisha. si umesikia mweznzio Juliana Shoza kule Mianzini Arusha? Kwa KUBINAFSISHA AKILI KAJIKUTA anasema ile kweli kwamba "HAKUNA MAFISADI KAMA CCM".

Mmefikia mahali hata kuitetea CCm mmeshindwa na hatimaye mnageuka kuwa washauri wa CHADEMA.

Imekula kwenu vibaraka. Au ndio account ya Buku 7 imesha filisika, eti?
 
Masalia wote waliotemwa na waliokuwa watumishi ndani ya serikali ya ccm huku wakiwa na kashfa mbalimbali mbaya walipotemwa na kukimbilia chadema wamegeuka lulu na wale wapiganaji waliokiweka chadema kwenye ushindani wa vyama vingi wamefanywa si kitu.
Mfano ni Dr Slaa; huyu mzee ametoka ccm na mpaka leo anamiliki kadi ya ccm lakini la kustaajabu ni kubakia cdm kama mfalme na leo amekuwa tegemezi la chama katika uchaguzi ujao.
Ni huyuhuyu mzee Slaa aliefuja pesa za kanisa akiwa mtumishi ndani ya ccm na baadae kuibukia chadema na kufanya yaleyale aliyoyafanya akiwa ccm kwa kujikopesha mamilioni ya ruzuku za chama ambazo kimsingi ni mali za walalahoi na hii sio shutuma kwani amekiri bado amebakia kuwa hero wa chadema na waliojitolea mali, muda na nguvu zao kukistawisha chama wamekuwa zero mbele ya viongozi wa chadema na baadhi ya wafuasi.
Ni huyuhuyu mzee Slaa ambae kwa support anayopata kutoka kwa wamiliki wa chama amekuwa dikteta wa kufurumusha wanachama asiowapenda na hatimae wamegeuka mwiba kwa cdm wakiwa ccm bado anabakia kuwa kipenzi cha viongozi na wafuasi kadhaa wa chama hiki.
Je ni ipi siri ya kukubalika huku kwa dr Slaa kwa wanachadema pamoja na maovu yote ya kukihujumu chama?
My intake,
Kwa usaliti huu chadema hamtokuja pata ukombozi mnaoupigania kwa miaka kadhaa na ni wazi kwamba chama kitabakia kikisindikiza Ccm kila uchaguzi.

Nani atawakabidhi nchi hao wapenda maandamano na wachonganishi wa vyombo vya dola na wanachi?? hahahahaaaaaaa. watakesha sana humu JF na kupiga kelele majukwaani ila dola hawatachukua. period.
 
Dr. Slaa "UNSTOPPABLE" Mtajuta kumfahamu'

Wewe akili yako labda ina mgando ndio maana unashindwa hata kutumia common sense kujua kuwa kuna usaliti wa ajabu ndani ya chama ambao huu ni chanzo kikubwa cha kuishusha hadhi ya chama.
 
Ishu sio Cd ila usaliti wa viongozi wenu ambao pia wamekurithisheni na nyingi wafuasi wa watu na sio misingi.

Muulizie katibu mkuu wa maCCM zamani Makamba, ndio alikuwa akiimba sana hizo nyimbo, lakini wapi, ndio kwanza akawa Dr anazidi kupendwa, kaja Nape hadi Mwigulu lakini wapi, Dr.Akisimama watu wanamsikiliza angalia matokeo ya 2010, ndio utajua, unaemuongelia ana level gani...
 
Hivyo huyo Slaa kiongozi wa Dini hajaiba mke wa watu na kuvunja ndoa yao, Na jee hajamtelejeza mke wake na wanawe. He was a failure in The church na atakuwa failure everywhere on earth. Amemsaliti Mungu kweli atamuone huruma mkereketwa.

Bangoo kaazime Akili zako zimeoza

Sasa kama ni Filure mbina kila siku hamkosi kutoka mapovu humu jamvini kuhusu Dr. Slaa? Mwenyekiti wako tu ukimtajia hilo jina ni sawa na kumtuma AKASHIKE NYETI ZA SIMBA. Wewe unakuja na hoja mfu eti ni failure.

MMESHIKWA PABAYA, 2015 HAMCHOMOKI. Tunasubiria kwa hamu uboreshaji wa daftari la wapiga kura. Hapo ndio unauona musiki wa CHADEMA kwa kiwango kisicho tarajiwa.
 
Wewe akili yako labda ina mgando ndio maana unashindwa hata kutumia common sense kujua kuwa kuna usaliti wa ajabu ndani ya chama ambao huu ni chanzo kikubwa cha kuishusha hadhi ya chama.

Chamviga!

Imekula kwako hiyo. Hata viongozi wako wanalijua hilo. Si umeona maandalizi ya kuhamia China yameanza, eti?
 
Masalia wote waliotemwa na waliokuwa watumishi ndani ya serikali ya ccm huku wakiwa na kashfa mbalimbali mbaya walipotemwa na kukimbilia chadema wamegeuka lulu na wale wapiganaji waliokiweka chadema kwenye ushindani wa vyama vingi wamefanywa si kitu.
Mfano ni Dr Slaa; huyu mzee ametoka ccm na mpaka leo anamiliki kadi ya ccm lakini la kustaajabu ni kubakia cdm kama mfalme na leo amekuwa tegemezi la chama katika uchaguzi ujao.
Ni huyuhuyu mzee Slaa aliefuja pesa za kanisa akiwa mtumishi ndani ya ccm na baadae kuibukia chadema na kufanya yaleyale aliyoyafanya akiwa ccm kwa kujikopesha mamilioni ya ruzuku za chama ambazo kimsingi ni mali za walalahoi na hii sio shutuma kwani amekiri bado amebakia kuwa hero wa chadema na waliojitolea mali, muda na nguvu zao kukistawisha chama wamekuwa zero mbele ya viongozi wa chadema na baadhi ya wafuasi.
Ni huyuhuyu mzee Slaa ambae kwa support anayopata kutoka kwa wamiliki wa chama amekuwa dikteta wa kufurumusha wanachama asiowapenda na hatimae wamegeuka mwiba kwa cdm wakiwa ccm bado anabakia kuwa kipenzi cha viongozi na wafuasi kadhaa wa chama hiki.
Je ni ipi siri ya kukubalika huku kwa dr Slaa kwa wanachadema pamoja na maovu yote ya kukihujumu chama?
My intake,
Kwa usaliti huu chadema hamtokuja pata ukombozi mnaoupigania kwa miaka kadhaa na ni wazi kwamba chama kitabakia kikisindikiza Ccm kila uchaguzi.

Kumbe ni wewe!
 
Nani atawakabidhi nchi hao wapenda maandamano na wachonganishi wa vyombo vya dola na wanachi?? hahahahaaaaaaa. watakesha sana humu JF na kupiga kelele majukwaani ila dola hawatachukua. period.

Usaliti ni tatizo lengine kubwa linawapiga chini hawa makamanda. Washawasaliti viongozi wao wakuu wa chama hata kupelekea waliokuwa na mapenzi na chama kukata tamaa na kuona siasa is nothing. Wamewafukuza Juliana, Mtela, amejitoa Kisandu, na Bado Ludovick akitoka huko selo ataendelea kuwavua nguo wasaliti wakubwa hawa.
 
Mti wenye matunda, ndio unaopigwa mawe, nani azungumzwe katika siasa ya nchi hii kwa sasa kama sio Dr. Slaa? Magazeti yaandike habari za mwanasiasa yupi ili yauze kama si Dr. Slaa? Chapa mwendo Dr wa PhD.
Masalia wote waliotemwa na waliokuwa watumishi ndani ya serikali ya ccm huku wakiwa na kashfa mbalimbali mbaya walipotemwa na kukimbilia chadema wamegeuka lulu na wale wapiganaji waliokiweka chadema kwenye ushindani wa vyama vingi wamefanywa si kitu.
Mfano ni Dr Slaa; huyu mzee ametoka ccm na mpaka leo anamiliki kadi ya ccm lakini la kustaajabu ni kubakia cdm kama mfalme na leo amekuwa tegemezi la chama katika uchaguzi ujao.
Ni huyuhuyu mzee Slaa aliefuja pesa za kanisa akiwa mtumishi ndani ya ccm na baadae kuibukia chadema na kufanya yaleyale aliyoyafanya akiwa ccm kwa kujikopesha mamilioni ya ruzuku za chama ambazo kimsingi ni mali za walalahoi na hii sio shutuma kwani amekiri bado amebakia kuwa hero wa chadema na waliojitolea mali, muda na nguvu zao kukistawisha chama wamekuwa zero mbele ya viongozi wa chadema na baadhi ya wafuasi.
Ni huyuhuyu mzee Slaa ambae kwa support anayopata kutoka kwa wamiliki wa chama amekuwa dikteta wa kufurumusha wanachama asiowapenda na hatimae wamegeuka mwiba kwa cdm wakiwa ccm bado anabakia kuwa kipenzi cha viongozi na wafuasi kadhaa wa chama hiki.
Je ni ipi siri ya kukubalika huku kwa dr Slaa kwa wanachadema pamoja na maovu yote ya kukihujumu chama?
My intake,
Kwa usaliti huu chadema hamtokuja pata ukombozi mnaoupigania kwa miaka kadhaa na ni wazi kwamba chama kitabakia kikisindikiza Ccm kila uchaguzi.
 
We ni nepi au mwigulu au rizwani umekuja kwa id za kughushi ee.ktk watu ambao akili zao zina matatizo na wenye upeo mdogo ndo hao.mbona nepi hajarudisha kadi ya ccj mpaka leo lakini baba riz kamuweka ndo ndondocha wake?anzay baba kama mtoto vichwa nazi
 
Back
Top Bottom