Kwa sifa na vigezo hivi vya CCM tusidanganyane, NEC tuleteeni Mwandosya tu

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,531
SIFA 13 ZA MWANACCM ANAYEFAA KUSHIKA NAFASI YA RAIS, KANUNI ZA UCHAGUZI TOLEO LA MWAKA 2005 NA MAREKEBISHO YAKE YA MWAKA 2010.

1.Awe na uwezo mkubwa wa kuliongoza Taifa kwa kuzingatia uzoefu wake katika uongozi wa shughuli za Serikali,Umma na Taasisi
.2.Awe Mwadilifu,asiyetiliwa shaka juu ya matendo ya uadilifu mbele ya uso wa Jamii ya Watanzania na awe mwenye Hekima na Busara.
3.Awe na angalau kiwango cha Elimu ya Chuo Kikuu au Elimu inayolingana na Hiyo.

4.Awe mwenye upeo na uwezo mkubwa wa kudumisha,kuimarisha na kuendeleza Muungano wetu,Umoja wetu Amani na Utulivu wetu na Mshikamano wa Kitaifa.

5.Awe Mtu mwepesi wa kuona mbali,asiyeyumbishwa na mwenye uwezo wa kufanya uamuzi wa busara kuhusu masuala nyeti na muhimu ya taifa kwa wakati unaofaa.

6.Awe na upeo mkubwa na usiotiliwa shaka kuhusu masuala ya Kimataifa ili aweze kuwa kiungo imara kati ya nchi yetu na Dunia yote kwa ujumla.
7.Asiwe Mtu mwenye Hulka ya Udikteta au Ufashisti bali awe mtu anayeheshimu na kulinda Katiba ya nchi,Sheria,Utawala bora,Kanuni na Taratibu za Nchi.

8.Awe mtetezi wa wanyonge,wa haki za binadamu,mzingatiaji makini wa maendeleo ya raia wote na asiwe na tamaa ya kujitafutia umaarufu wa mtu binafsi.

9.Awe mstari wa mbele katika kuzifahamu,kuzieleza,kuzitetea na kuzitekeleza Sera za CCM na Ilani ya CCM ya Uchaguzi.
10.Awe mpenda haki na awe mtu jasiri katika kupambana na dhuluma na maovu yote nchini.
11.Asiwe ni mtu ambaye anatumia nafasi yake ya uongozi kujilimbikizia mali.
12.Kwa jumla awe ni mtu anaye kubalika na wananchi,,na

13.Awe mtu makini katika kuzingatia masuala ya uwajibikaji wa viongozi/watendaji na asiyevumilia uzembe katika utekelezaji wa majukumu/wajibu waliokabidhiwa ili kuinua nidhamu ya Kazi.Tija na Ufanisi.

KIUKWELI MWANDOSYA ATOSHA KABISA HAPA
 
Mark Professor, hii nchi tumeona madegree ndy wanaongoza na wameboronga sana.sasa Professor tuone how r going to deliver!!hapa tutakua tumempa mwanasiasa na mtaalam. Ili akomboee nchi hii
 
tena wala hatushawishi tumshawishi kwa pesa na maisha yake ni ya kawaida sana hana hata chembe ya ufisadi
 
Mleta mada ningekushauri uwasilishe mapendekezo yako huko huko CC sijui NEC ya chama. Huku viongozi wako hao hawapo. Tulioko mitandaoni tunasubiri BVR tu tutoe hukumu yetu.
 
Huyu mwandosya kwasasa ni MTU sahihi,Taifa lilipofikia linahitaji watu Wa kawaida wasio na makuu akina mwandosya,,,watu walio neutral hawana makundi ya kutugawa......binafsi namuona mwandosya MTU sahihi anayeijua serikali ....mzoefu asiye na makundi ....
 
Hata sisi wakulima tunajua kuwa Mwandosya ni kiongozi viongozi mzuri na msafi asiyekiuwa na kashfa za ufisadi na mwenye uwezo wa kututumikia na kutuvusha kuelekea na kuwa nchi yenye uchumi wa kati hasa katika dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia.
 
hivi huyu mzee amepona? au ndo zile double standard zetu
 
Huyu mwandosya kwasasa ni MTU sahihi,Taifa lilipofikia linahitaji watu Wa kawaida wasio na makuu akina mwandosya,,,watu walio neutral hawana makundi ya kutugawa......binafsi namuona mwandosya MTU sahihi anayeijua serikali ....mzoefu asiye na makundi ....

Naona umeandika ujinga mtupu kumsifia Mwandosya. Unakiri wazi kabisa kuwa utawala wa sasa(Mwandosya akiwa ni miongoni mwa hao watawala) umechoka kabisa, halafu hapo hapo unasema CCM impitisheMwandosya kuokoa jahazi, how?
 
SIFA 13 ZA MWANACCM ANAYEFAA KUSHIKA NAFASI YA RAIS, KANUNI ZA UCHAGUZI TOLEO LA MWAKA 2005 NA MAREKEBISHO YAKE YA MWAKA 2010.

1.Awe na uwezo mkubwa wa kuliongoza Taifa kwa kuzingatia uzoefu wake katika uongozi wa shughuli za Serikali,Umma na Taasisi
.2.Awe Mwadilifu,asiyetiliwa shaka juu ya matendo ya uadilifu mbele ya uso wa Jamii ya Watanzania na awe mwenye Hekima na Busara.
3.Awe na angalau kiwango cha Elimu ya Chuo Kikuu au Elimu inayolingana na Hiyo.

4.Awe mwenye upeo na uwezo mkubwa wa kudumisha,kuimarisha na kuendeleza Muungano wetu,Umoja wetu Amani na Utulivu wetu na Mshikamano wa Kitaifa.

5.Awe Mtu mwepesi wa kuona mbali,asiyeyumbishwa na mwenye uwezo wa kufanya uamuzi wa busara kuhusu masuala nyeti na muhimu ya taifa kwa wakati unaofaa.

6.Awe na upeo mkubwa na usiotiliwa shaka kuhusu masuala ya Kimataifa ili aweze kuwa kiungo imara kati ya nchi yetu na Dunia yote kwa ujumla.
7.Asiwe Mtu mwenye Hulka ya Udikteta au Ufashisti bali awe mtu anayeheshimu na kulinda Katiba ya nchi,Sheria,Utawala bora,Kanuni na Taratibu za Nchi.

8.Awe mtetezi wa wanyonge,wa haki za binadamu,mzingatiaji makini wa maendeleo ya raia wote na asiwe na tamaa ya kujitafutia umaarufu wa mtu binafsi.

9.Awe mstari wa mbele katika kuzifahamu,kuzieleza,kuzitetea na kuzitekeleza Sera za CCM na Ilani ya CCM ya Uchaguzi.
10.Awe mpenda haki na awe mtu jasiri katika kupambana na dhuluma na maovu yote nchini.
11.Asiwe ni mtu ambaye anatumia nafasi yake ya uongozi kujilimbikizia mali.
12.Kwa jumla awe ni mtu anaye kubalika na wananchi,,na

13.Awe mtu makini katika kuzingatia masuala ya uwajibikaji wa viongozi/watendaji na asiyevumilia uzembe katika utekelezaji wa majukumu/wajibu waliokabidhiwa ili kuinua nidhamu ya Kazi.Tija na Ufanisi.

KIUKWELI MWANDOSYA ATOSHA KABISA HAPA

1. Viongozi wengi wa CCM hawana "sifa" namba 7, 8, 11 na 12.

2. Sijui ni kwa namna gani "sifa" namba tano 'inapimwaje' yaani "mwepesi wa kuona mbali" .

3. Kwasasa ni muhimu kwa kila chama kuangalia uwezekano wa kubadili sera/sifa namba tisa! Yaani kutekeleza sera ya chama. Tunachopaswa kuangalia ni sera ya nchi kutekelezwa KWANZA!
 
mwandosya hakuwa na kiherehere cha urais wala papara ya kutaka kufuatwa na makundi ayashawishiki kumshawishi hebu msikie hapa anavyosema

"Kuteuliwa na chama kuwa mgombea urais ni heshima kubwa na kilele cha utumishi ambao mwanachama anaweza kutoa kwa chama na kwa Taifa.

" Itakuwa ni heshima iliyoje kwangu iwapo chama kitaweza kunifikiria na hatimaye kuniteua kufika hapo. Hata hivyo msinitake nivuke daraja hata kabla ya kulifikia..." Mwandosya julai 2014
 
Profesa Mwandosya ni mtu aliyeweka historia ya kutukuka kwenye jimbo lake kwa kuchaguliwa bila kupingwa kwa vipindi vitatu mfululizo. Na kwa upande wa Mkoa wa Mbeya ni 'Mfalme'.

Ananikumbusha usemi wa Kiingereza kwamba "Charity begins at home". Haiwezekani kwamba mtu unataka kugombea nafasi ya juu ya utumishi wa umma nchini, lakini nyumbani kwenu hukubaliki kisawasawa.

nec plz tuleteeni huyu mtu
 
Kama akijaaliwa na Mweyezimungu kupata hiyo nafasi basi asiwarudishe wale wote amabo ni mizigo.Wako vijana wengi wanaweza kazi za uwaziri na wana nidhamu na wako tayari kuelekezwa na wakuu wao.Kwa kifupi apige chini wazee wote na aunde baraza la wazee la kutoa ushahuri liwe kinakutana sambamba na bunge.
 
1. Viongozi wengi wa CCM hawana "sifa" namba 7, 8, 11 na 12.

2. Sijui ni kwa namna gani "sifa" namba tano 'inapimwaje' yaani "mwepesi wa kuona mbali" .

3. Kwasasa ni muhimu kwa kila chama kuangalia uwezekano wa kubadili sera/sifa namba tisa! Yaani kutekeleza sera ya chama. Tunachopaswa kuangalia ni sera ya nchi kutekelezwa KWANZA!

lakini mwandosya hizo soifa no 7, 8, 11 pamoja 12 zote anazo andio maana mwandosya anafaa, si si vizuri vyama kubadilsha sera na sifa nzuri eti kwa kigezo kuwa wengi hawana kufanya hivyo ni kupoteza uzalendo na kuwapa nafasi mafisadi watupeleke wanavyataka kwa mapesa yao machafu
 
SIFA 13 ZA MWANACCM ANAYEFAA KUSHIKA NAFASI YA RAIS, KANUNI ZA UCHAGUZI TOLEO LA MWAKA 2005 NA MAREKEBISHO YAKE YA MWAKA 2010.

1.Awe na uwezo mkubwa wa kuliongoza Taifa kwa kuzingatia uzoefu wake katika uongozi wa shughuli za Serikali,Umma na Taasisi
.2.Awe Mwadilifu,asiyetiliwa shaka juu ya matendo ya uadilifu mbele ya uso wa Jamii ya Watanzania na awe mwenye Hekima na Busara.
3.Awe na angalau kiwango cha Elimu ya Chuo Kikuu au Elimu inayolingana na Hiyo.

4.Awe mwenye upeo na uwezo mkubwa wa kudumisha,kuimarisha na kuendeleza Muungano wetu,Umoja wetu Amani na Utulivu wetu na Mshikamano wa Kitaifa.

5.Awe Mtu mwepesi wa kuona mbali,asiyeyumbishwa na mwenye uwezo wa kufanya uamuzi wa busara kuhusu masuala nyeti na muhimu ya taifa kwa wakati unaofaa.

6.Awe na upeo mkubwa na usiotiliwa shaka kuhusu masuala ya Kimataifa ili aweze kuwa kiungo imara kati ya nchi yetu na Dunia yote kwa ujumla.
7.Asiwe Mtu mwenye Hulka ya Udikteta au Ufashisti bali awe mtu anayeheshimu na kulinda Katiba ya nchi,Sheria,Utawala bora,Kanuni na Taratibu za Nchi.

8.Awe mtetezi wa wanyonge,wa haki za binadamu,mzingatiaji makini wa maendeleo ya raia wote na asiwe na tamaa ya kujitafutia umaarufu wa mtu binafsi.

9.Awe mstari wa mbele katika kuzifahamu,kuzieleza,kuzitetea na kuzitekeleza Sera za CCM na Ilani ya CCM ya Uchaguzi.
10.Awe mpenda haki na awe mtu jasiri katika kupambana na dhuluma na maovu yote nchini.
11.Asiwe ni mtu ambaye anatumia nafasi yake ya uongozi kujilimbikizia mali.
12.Kwa jumla awe ni mtu anaye kubalika na wananchi,,na

13.Awe mtu makini katika kuzingatia masuala ya uwajibikaji wa viongozi/watendaji na asiyevumilia uzembe katika utekelezaji wa majukumu/wajibu waliokabidhiwa ili kuinua nidhamu ya Kazi.Tija na Ufanisi.

KIUKWELI MWANDOSYA ATOSHA KABISA HAPA

Hatuna haja ya degree za mtu sisi....tunataka mtu anaeweza kufanya maamuzi magumu kwa faida ya Taifa letu...Mwandosya kilaza tu, hajawahi hata kutoka mbele ya jamii kukemea hata JAMBO MOJA lililoikwaza taifa....tusitegemee akakemee akiwa Rais.....----!!!!
 
Na ile hoja ya mbunge wenu kuwa ikulu si nyumba ya wagonjwa vipi? Au ni muendelezo wa futuhi kwa wabunge wa ccm, kuropoka na kusema ndio.
 
Back
Top Bottom