Anheuser
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 1,944
- 662
"Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN" sio wadhifa wa kisiasa.Ni mwalimu hapo Mlimani, na wala hana wadhifa wowote kisiasa zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN
"Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN" sio wadhifa wa kisiasa.Ni mwalimu hapo Mlimani, na wala hana wadhifa wowote kisiasa zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN
"Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN" sio wadhifa wa kisiasa.
Tuamwona Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Dk Asha-Rose Migiro kwenye vyombo vya habari kila mara. Mara hii anaongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia wakiongozana huko Arusha kufungua mkutano wa Umoja wa Mawaziri wa Serikali za Mitaa wa Afrika Mashariki. Tungependa kujua wadhifa wake wa sasa katika medani za siasa hapa nchini.
Naibu katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN).
Kwasasa ni Special Envoy for HIV/AIDS in Africa of the United Nations Secretary-General from 13 July 2012.Na kama unavyojua maswala ya HIV ni mtambuka ndiyo maana anaweza kuonekana sehemu tofauti na watu tofauti.
hatariMiss Utalii wa CCM.
"Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN" sio wadhifa wa kisiasa.
Mimi nadhani yeye bado ni hazina kubwa kwa Taifa kwa kushika nyadhifa ile ya juu
Binaadamu tunakuona mtu ukiwa na kitu au nafasi, sasa nafasi haipo tunamwona tambara la deki,
Zamani waTanzania waliweza kujiidentify through yeye kupitia title yake
Kafanya alivyoweza kwa uwezo wake, she couldn't play UN politics well maana pale kwenye nafasi ile u r less operational and more strategic hivyo she had an armlenght of helpers
Ndio tunasema hajaperfom sawasawa lakini HAJAHARIBU wala hajaabisha
Migiro atumike vizuri katika women leadership grooming, maana ukishakosea ndio unajifunza
So she should forge ahead turning each stumbling block, into a stepping stone na pamba masikioni
angelika kidjo ameacha hiyo kazi na kupewa migiro?
JK anajaribu kumpika, lakini Dunia nzima itatucheka kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania. Mama kajaariwa kuwa na elimu nzuri, lakini uwezo katika fani ya Uongozi hamna kabisa. Hapa UN tunashindwa kujua sababu za kupwaya, labda hakuamini kushika nafasi kubwa kama ile au uwoga wa kuzungukwa na wazungu. Labda mjaribuni huko Bongo, udiwani kabla ya kumpendekeza Urais
Umesema "hana wadhifa wowote zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu"hivi unajua kusoma vizuri mkuu?...kama umesoma maneno yote katika post yangu hukupaswa kuninukuu maana ni kama umerudia nilichokiandika
"Ni mwalimu hapo Mlimani, na wala hana wadhifa wowote kisiasa zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN"
hukuyaona hayo maneno?