Kwa sasa Asha Migiro ni nani?

Mkataba mkataba!! mwenye mkataba wake atuwekee hapa kuwa alikuwa na kipindi kimoja tu na pia hakuhitaji kipindi kingine.
 
Alistaafu vipi kabla muda wa Ban Kim Moon kuisha?
Tuamwona Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Dk Asha-Rose Migiro kwenye vyombo vya habari kila mara. Mara hii anaongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia wakiongozana huko Arusha kufungua mkutano wa Umoja wa Mawaziri wa Serikali za Mitaa wa Afrika Mashariki. Tungependa kujua wadhifa wake wa sasa katika medani za siasa hapa nchini.
 
Mimi nadhani yeye bado ni hazina kubwa kwa Taifa kwa kushika nyadhifa ile ya juu

Binaadamu tunakuona mtu ukiwa na kitu au nafasi, sasa nafasi haipo tunamwona tambara la deki,

Zamani waTanzania waliweza kujiidentify through yeye kupitia title yake

Kafanya alivyoweza kwa uwezo wake, she couldn't play UN politics well maana pale kwenye nafasi ile u r less operational and more strategic hivyo she had an armlenght of helpers

Ndio tunasema hajaperfom sawasawa lakini HAJAHARIBU wala hajaabisha

Migiro atumike vizuri katika women leadership grooming, maana ukishakosea ndio unajifunza

So she should forge ahead turning each stumbling block, into a stepping stone na pamba masikioni
 
Akakae makumbusho tujikumbueshe kuwa tulishawahi kutoa Naibu Katibu wa (UN) ila sio uraisi.
 
Kwasasa ni Special Envoy for HIV/AIDS in Africa of the United Nations Secretary-General from 13 July 2012.Na kama unavyojua maswala ya HIV ni mtambuka ndiyo maana anaweza kuonekana sehemu tofauti na watu tofauti.

angelika kidjo ameacha hiyo kazi na kupewa migiro?
 
"Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN" sio wadhifa wa kisiasa.

hivi unajua kusoma vizuri mkuu?...kama umesoma maneno yote katika post yangu hukupaswa kuninukuu maana ni kama umerudia nilichokiandika

"Ni mwalimu hapo Mlimani, na wala hana wadhifa wowote kisiasa zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN"

hukuyaona hayo maneno?
 
Nazani atakuwa yupo yupo tuu ingawa usikute Tz ndo wanamwandalia cheo!
 
n mama wa nyumbani tu ....ka prove failure UN karudi home kupika dagaa na ugali ...Mitanzania sijui tunawezaga kufanya kitu gani
 
Mimi nadhani yeye bado ni hazina kubwa kwa Taifa kwa kushika nyadhifa ile ya juu

Binaadamu tunakuona mtu ukiwa na kitu au nafasi, sasa nafasi haipo tunamwona tambara la deki,

Zamani waTanzania waliweza kujiidentify through yeye kupitia title yake

Kafanya alivyoweza kwa uwezo wake, she couldn't play UN politics well maana pale kwenye nafasi ile u r less operational and more strategic hivyo she had an armlenght of helpers

Ndio tunasema hajaperfom sawasawa lakini HAJAHARIBU wala hajaabisha

Migiro atumike vizuri katika women leadership grooming, maana ukishakosea ndio unajifunza

So she should forge ahead turning each stumbling block, into a stepping stone na pamba masikioni

nimependa mchango wako, hasa hapo mwisho mwisho
 
angelika kidjo ameacha hiyo kazi na kupewa migiro?

Kabla ya migiro sijui ni nani alikuwa anafanya kazi hiyo.Two weeks ago pale mnazi mmoja kulikuwa na hafla ya kumpongeza Migiro.You can even google utaona.
 
JK anajaribu kumpika, lakini Dunia nzima itatucheka kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania. Mama kajaariwa kuwa na elimu nzuri, lakini uwezo katika fani ya Uongozi hamna kabisa. Hapa UN tunashindwa kujua sababu za kupwaya, labda hakuamini kushika nafasi kubwa kama ile au uwoga wa kuzungukwa na wazungu. Labda mjaribuni huko Bongo, udiwani kabla ya kumpendekeza Urais

:biggrin1: eti kama akichaguliwa kua rais...ccm wamweke huyu waone kama hawajakimaliza chama chao
 
hivi unajua kusoma vizuri mkuu?...kama umesoma maneno yote katika post yangu hukupaswa kuninukuu maana ni kama umerudia nilichokiandika

"Ni mwalimu hapo Mlimani, na wala hana wadhifa wowote kisiasa zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN"

hukuyaona hayo maneno?
Umesema "hana wadhifa wowote zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu"

Well, Naibu Katibu Mkuu Mstaafu sio wadhifa!

Kwa hiyo huwezi kusema "hana wadhifa wowote zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu"!

Ni muendelezo wa saratani ile ile ya Mtanzania, Kiswahili tabu, kilugha chao tabu, cha kijifunza tabu...!

Balaa tupu!
 
Back
Top Bottom