''kwa sababu hizi gesi lazima ibaki MTWARA NA SIO KWENDA BAGAMOYO"

it doesn't matter how you have provided references to us but what we like is to produce a product from MTWARA(electricity ) and link it with TANESCO that means national grade.If is that case you can set pipes from MTERA/NYUMBA YA MUNGU to bagamoyo where you can produce electricity easily rather than where it is????
TANZANIA NI MOJA NA KILA MKOA UNATAKA MAENDELEO YA KASI, SASA TUNAHITAJI KUIPANUA TANZANIA.
 
Tatizo anchoamua raisi nchi hii basi ndio sera. halafu wakina mkuchika wananangalia tu,babadae waje walalamike.hv wamerogwa au? mbona wanatetea sana gesi kwenda bagamoyo? au wameshachakua 10% yao?
 
Kuleta GESI kwa Mradi wa matumizi ya gesi kwenye makazi hauna maana na UMEME lazima uzalishwe DAR,Huo ni USHUKI (upungufu wa shule kichwani) wa VIONGOZI waliopanga na kujenga hiyo mitambo bila kuwafikiria wa-TANZANIA wanao ishi eneo husika,umeme ni wetu kwa nini muwekezaji atupangie pakuzalishia?,yeye anachotaka ni umeme wa kudumu na si unakozalishwa,Achana na akili-tumikishwa,unalalaaama sababu zenyewe ZOTE unyoya.hakuna sababu hata moja ya msingi kulazimisha umeme ufuliwe DAR, vilaza mnakazi mara oooh itakuwa utengano,oooh umeme ukisafirishwa kwa waya unapotea njiani..,Aaaah mtera unapotea kiwango gani kwa mwaka?,mara ooooh! mtwara wamelishwa na mkonge muda mrefu, Korosho zilikuwa hazichangii pato la taifa?,Hata kwenye maelezo ya mazao yanayotoa michango kwa TAIFA korosho HA-MKUITAJA mlivyokuwa MABARADHULI.aibu kwenu na vijisa babu unyoya vyenu.

Ahsante kaka kwa kumuelimisha huyo!!!!!!
 
Serikali ilete mitambo mingine zaidi ya hii? http://www.wentworthresources.com/pd...%20Project.pdf.

Vilevile, bomba la gesi kutoka visiwa vya Songosongo na lile kutoka Mnazi Bay zitaungana somwhere in Lindi, kijiji/mji mmoja unaitwa Somanga na kuendelea hadi Dar es Salaam. Litapita maeneo ya Mkuranga ambapo imegunduliwa gesi tele pia. Mmoja kauliza itwasaidia nini watu wa mikoa ile? Kwanza kabisa ni ajira - ujenzi wa miundombinu mara nyingi inajulikana kuhitaji nguvu kazi nyingi - gesi na mafuta pia. Ajira pia zitakuja kwa njia zingine - tumesikia viwanda vinajengwa huko. Inawezekana ni mwendo taratibu lakini kuna msemo wamarekani husema, "If you build it they will come" http://www.wentworthresources.com/pd...ual_Report.pdf

Bomba linakuja Dar kwani tayari pameshajengwa mitambo ya kubadilisha gesi kuwa umeme. Isitoshe, kuna viwanda kadhaa tayari vinatumia gesi hiyo, kuna nyumba za majaribio zinazotumia gesi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kupikia na labda baadaye for HVAC (heating, Ventilation and air conditioning) MICHUZI: mradi utaomaliza kabisa kero ya mgao wa umeme nchini

Enzi zile ninakua kulikiuwa na kitabu kimoja kinaitwa "Someni Bila Shida" - Kwa muda wako mwenyewe hebu sikiliza na soma hii: BBC Swahili - Medianuai - Gesi Tanzania inafaidi nani? na peruzi hizi zifuatazo: http://www.mem.go.tz/wp-content/uplo...tober-2012.pdf na http://www.mipango.go.tz/documents/M...EO%20final.pdf na http://www.ecfa.or.jp/japanese/act-pf_jka/H21/JDI_tanzania/english.pdf.

Tuache kuropoka tuu bila sababu na ushahidi muhimu.

it doesn't matter how you have provided references to us but what we like is to produce a product from MTWARA(electricity ) and link it with TANESCO that means national grade.If is that case you can set pipes from MTERA/NYUMBA YA MUNGU to bagamoyo where you can produce electricity easily rather than where it is????
TANZANIA NI MOJA NA KILA MKOA UNATAKA MAENDELEO YA KASI, SASA TUNAHITAJI KUIPANUA TANZANIA.
 
Serikali ilete mitambo mingine zaidi ya hii? http://www.wentworthresources.com/pd...%20Project.pdf.

Vilevile, bomba la gesi kutoka visiwa vya Songosongo na lile kutoka Mnazi Bay zitaungana somwhere in Lindi, kijiji/mji mmoja unaitwa Somanga na kuendelea hadi Dar es Salaam. Litapita maeneo ya Mkuranga ambapo imegunduliwa gesi tele pia. Mmoja kauliza itwasaidia nini watu wa mikoa ile? Kwanza kabisa ni ajira - ujenzi wa miundombinu mara nyingi inajulikana kuhitaji nguvu kazi nyingi - gesi na mafuta pia. Ajira pia zitakuja kwa njia zingine - tumesikia viwanda vinajengwa huko. Inawezekana ni mwendo taratibu lakini kuna msemo wamarekani husema, "If you build it they will come" http://www.wentworthresources.com/pd...ual_Report.pdf

Bomba linakuja Dar kwani tayari pameshajengwa mitambo ya kubadilisha gesi kuwa umeme. Isitoshe, kuna viwanda kadhaa tayari vinatumia gesi hiyo, kuna nyumba za majaribio zinazotumia gesi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kupikia na labda baadaye for HVAC (heating, Ventilation and air conditioning) MICHUZI: mradi utaomaliza kabisa kero ya mgao wa umeme nchini

Enzi zile ninakua kulikiuwa na kitabu kimoja kinaitwa "Someni Bila Shida" - Kwa muda wako mwenyewe hebu sikiliza na soma hii: BBC Swahili - Medianuai - Gesi Tanzania inafaidi nani? na peruzi hizi zifuatazo: http://www.mem.go.tz/wp-content/uplo...tober-2012.pdf na http://www.mipango.go.tz/documents/M...EO%20final.pdf na http://www.ecfa.or.jp/japanese/act-pf_jka/H21/JDI_tanzania/english.pdf.

Tuache kuropoka tuu bila sababu na ushahidi muhimu.

sasa huo ushahid una mantiki gani??
huyo joyce kisamo na TPDC si ni hao hao lao moja??
 
it doesn't matter how you have provided references to us but what we like is to produce a product from MTWARA(electricity ) and link it with TANESCO that means national grade.If is that case you can set pipes from MTERA/NYUMBA YA MUNGU to bagamoyo where you can produce electricity easily rather than where it is????
TANZANIA NI MOJA NA KILA MKOA UNATAKA MAENDELEO YA KASI, SASA TUNAHITAJI KUIPANUA TANZANIA.

tell him the son of kihiyo
 
Why Bagamoyo? Coz JK comes from there. Why now? Coz he has a plan of making Bagamoyo a region and Chalinze its headquarters!

See the developments btwn Chalinze and Msata. IFM campus is being established at Msata.

Mlimchagua wenyewe. Bahati mbaya anawasliti hata wakwe na shemeji zake.
 
Kuleta GESI kwa Mradi wa matumizi ya gesi kwenye makazi hauna maana na UMEME lazima uzalishwe DAR,Huo ni USHUKI (upungufu wa shule kichwani) wa VIONGOZI waliopanga na kujenga hiyo mitambo bila kuwafikiria wa-TANZANIA wanao ishi eneo husika,umeme ni wetu kwa nini muwekezaji atupangie pakuzalishia?,yeye anachotaka ni umeme wa kudumu na si unakozalishwa,Achana na akili-tumikishwa,unalalaaama sababu zenyewe ZOTE unyoya.hakuna sababu hata moja ya msingi kulazimisha umeme ufuliwe DAR, vilaza mnakazi mara oooh itakuwa utengano,oooh umeme ukisafirishwa kwa waya unapotea njiani..,Aaaah mtera unapotea kiwango gani kwa mwaka?,mara ooooh! mtwara wamelishwa na mkonge muda mrefu, Korosho zilikuwa hazichangii pato la taifa?,Hata kwenye maelezo ya mazao yanayotoa michango kwa TAIFA korosho HA-MKUITAJA mlivyokuwa MABARADHULI.aibu kwenu na vijisa babu unyoya vyenu.

Mnanichekesha kweli! Ndio maana watu wengine wasio waAfrika au weusi hutucheka kwamba ukitaka tusijue nini kinaendelea duniani basi weka kitu hicho kwenye maandishi na mijitu (kama nyinyi - masluphill, mbwilo shadrack, et al) hamtasoma! Once again refer to this link: http://www.wentworthresources.com/pd...ual_Report.pdf

  1. Refer to FIG 3. PROPOSED CONNECTION FROM MTWARA ENERGY PROJECT TO NATIONAL GRID Artumas is engaging the Government of Tanzania and the state electricity utility, TANESCO, on a fast tracking of this power project and high voltage connection to the National Grid. Discussions have commenced with large industrial customers that would support a significant share of this new electricity supply. (Page 16 (18) Artumas Group Inc. Annual Report 2006)
  2. Refer to page 20 & 21 (22 & 23 of copied document) clearly shows what you are advocating

Read, fellas, before resorting to name calling and stupid inuendos on issues that are in plain view!!! Some people bwana, khaaa!!!!
 
tell him the son of kihiyo

read and know the facts, my brother(sister?). name calling and stupid innuendos does you no good!

Like I told the other diehard: Mnanichekesha kweli! Ndio maana watu wengine wasio waAfrika au weusi hutucheka kwamba ukitaka tusijue nini kinaendelea duniani basi weka kitu hicho kwenye maandishi na mijitu (kama nyinyi - masluphill, mbwilo shadrack, et al) hamtasoma! Once again refer to this link: http://www.wentworthresources.com/pd...ual_Report.pdf

I have seriously passd through what u call is a fact bt i came to conclusion that sometimes we must act like we are out of our mind so as to be understood,
we are seriously not interested in anyform of negotiations whatsoever,we are just in need of clear transparency in all matters concerning our gas,,
please no :blah:
 
Then you should read this and make your concerns available: http://www.mem.go.tz/wp-content/upl...licy-Draft-Management-MEM-29-October-2012.pdf
 
... Kweli kazi tunayo ndio maana Mh. Mbowe aliwahi kusema, chadema ikipata ridhaa ya kuongoza hii nchi siku moja watakua na priorities 4 tu. (1)education (2)education (3)education (4)the rule of law ..... Maana kuna watu wanashabikia vitu bila facts na wanachanganya siasa na proffesions nyingine muhimu katika maendeleo ya nchi ..... Hili jambo liangaliwe kwa makini na pande zote!
 
Back
Top Bottom