Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,594
Bado sijaolewa.
Unatafuta potential mume?
Bado sijaolewa.
sitafuti, ila natafutwa.
Mkulu hii nimeipenda.Animal nature ... it's biology.
Naturally tunatakiwa kuwa na sexual partners wengi (yaani kibayolojia)
Lakini social life yetu inataka man to woman, ama siku hizi man to man! Hhhaaa hhaaaa, ngumu!
Kila mtu ana cheat kwa sababu zake binafsi..
-kuna wanaocheat kwa sababu kamuona mbu anacheat(no pun intended)
-kuna wanaocheat kwa sababu hawaridhishwi na wenza wao
-wengine kwa sababu iko damuni, hawaridhiki na mwanamke/mwanaume mmoja.
Animal nature ... it's biology.
Naturally tunatakiwa kuwa na sexual partners wengi (yaani kibayolojia)
Lakini social life yetu inataka man to woman, ama siku hizi man to man! Hhhaaa hhaaaa, ngumu!
Mkulu hii nimeipenda.
Pretty my dia ukiangalia majbu hapa ni kuwa watu wanacheat kwa kuwa si rahisi watu kuishi kwa spice moja tu maishani so they want a different taste. Cha kushangaza ni wanaume tu ambao wanaihitaji (kuruhusiwa ) kubadili hiyo taste sijui wanawake taste buds zao hazifanyi kazi?
Mkuu, we acha tu.... ASTAGHAFIRULLAH!!!!! Bonnie1974, vipi?
Both.Cheating as in telling lies au cheating as in double dealing/infidelity?
Pretty my dia ukiangalia majbu hapa ni kuwa watu wanacheat kwa kuwa si rahisi watu kuishi kwa spice moja tu maishani so they want a different taste. Cha kushangaza ni wanaume tu ambao wanaihitaji (kuruhusiwa ) kubadili hiyo taste sijui wanawake taste buds zao hazifanyi kazi?
Both.
Bonnie,from my little exiperience,IF YOU CAN'T CHEAT A WOMAN,you will neva win her love
Nina mdogo wangu nimemwoza kwa jamaa mmoja,of course, huyo bwana ni shemeji yangu sasa kwa taratibu zote.Bonnie,
Unaposema both, kweli kuna mwanamke anaweza kusema au kukubali hayo?
Mtu unatakiwa kuwa muongo muongo hivi thru experience(sipendi lakini ndiyo reality),ofisini utafoji virisiti,mara utafanya hivi na vile, ili mradi ni uongo kila mahala.Utandanganya umefiwa upate kaadvance...n.k
Twaib sheikh twaib.Mkuu uongo katika ndoa unasaidia sana kunusuru ndoa yako na kuifanya ndoa yako ikuwe katika upendo wa hali ya juu lazima upige fiksi kidogo lakini uongo usipitilize kama wanavyo danganya wengine duh inakuwa kamba mpaka mmmh! Lakini wanaume wengi tunaamini kuwa wanawake ni wepesi kukubali uongo kuliko ukweli halisi.
Naomba niende mbali kidogo.Mkuu uongo katika ndoa unasaidia sana kunusuru ndoa yako na kuifanya ndoa yako ikuwe katika upendo wa hali ya juu lazima upige fiksi kidogo lakini uongo usipitilize kama wanavyo danganya wengine duh inakuwa kamba mpaka mmmh! Lakini wanaume wengi tunaamini kuwa wanawake ni wepesi kukubali uongo kuliko ukweli halisi.