Kwa nini wanawake wengine wanawalea wanaume

mmh. wanapenda kupitiliza labda. Si unajua mwanamke akipenda, muulize jayz akwambie. Chezeiya mapendo veve
 
Upendo kama mwanamke anampenda mwanaume ,mwanaume hana uwezo inabid mwanamke kumtunza
 
Sasa kununua mbo......ga za majani kuna ubaya gani jamani?.....wewe huuzi tuje tununue?
mfungwa hachagui jela,mwenye njaa hashauriki, mkiwatupia kitumbua wanaokota tu,njaa mbaya,nasikia mnawapa simy,vocha,gest mnalipa,kisa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom