Kwa nini wanawake wengine wanawalea wanaume

kuna wanaume wengine wanajua kukuna hadi m/ke anachanganyikiwa we haujampata tu!!

kuna mdau yeye kazi yake kuwaoa hawa wamama hasa wajane,,,,,,hivi karibun anataraj kufunga ndoa na mma mmoja aloachiwa ghorofa kariakoo,,,,,,lakini tayar ana wake wawil wa dizain hiyo mmoja ana nyumba 3 hapa mjini ameachiwa na mumewe aliyefariki,,,,ana carina T.i moja basi anakula bata tu,,,,
 
Hujapata wakukuhonga, mbona utajutia kauli yako hiyo...

Aaaaahh mkuu watu tupo vizuri...
Huo ni udhaifu kwa watoto wa kiume wanaosubiri mpaka wahongwe..
Wanaume kamili hatuongwi mkuu..wenye shida ndogondogo ndiyo husubiri wanawake wa kuwatongoza na kuwahonga.
 
Mie huyu?
Na akili yangu timamu nilee kidume?
Nani anataka kujiongezea matatizo....
Mpango wa mie nikupe hela halafu ukahonge nautaka sasa?

Nikikupa sh 50,000 ujue utarudisha 500,000!!!!!
Tena be vere vefe careful nikikuhonga, utailipa tu, in a way ambapo huyojua kama umelipa....??

Chezea BT weye....... Angalau my hubby naweza kumpa, ila sio ndo ageuze mtaji, mara moja baada ya miezi kadhaa sii mbaya.......
lakini kiserengeti boy? Thubutuuuuuuuuuuuuu

interesting question,ngoja wenye viserengeti/marioo waje wadadavue.. Kongosho Zinduna King'asti Mamndenyi sweetlady gfsonwin cacico BADILI TABIA Preta ndo zenu,njooni mtoe maelezo hapa kwa nini mnanunua niniliyu.
 
Last edited by a moderator:
Mie huyu?
Na akili yangu timamu nilee kidume?
Nani anataka kujiongezea matatizo....
Mpango wa mie nikupe hela halafu ukahonge nautaka sasa?

Nikikupa sh 50,000 ujue utarudisha 500,000!!!!!
Tena be vere vefe careful nikikuhonga, utailipa tu, in a way ambapo huyojua kama umelipa....??

Chezea BT weye....... Angalau my hubby naweza kumpa, ila sio ndo ageuze mtaji, mara moja baada ya miezi kadhaa sii mbaya.......
lakini kiserengeti boy? Thubutuuuuuuuuuuuuu

Hivi unajua kuna twin wangu aliibiwagwa hospitali mama alipotuzaa? Ama ni wewe?
mpango mzima ukipewa milioni ujue kuna milioni tano utaitoa bila hata kujijua. Tulia unyolewe Bishanga, unadhani sie ni kama huyo mkeo wa kanyigo. Muambie wenzie mwanaume akituudhi tunambeba na mbeleko manake tunajua malipo yake hehehe
 
mhhhh............
 
ni mie twin. . .

Loh!
 
Last edited by a moderator:
kuna mdau yeye kazi yake kuwaoa hawa wamama hasa wajane,,,,,,hivi karibun anataraj kufunga ndoa na mma mmoja aloachiwa ghorofa kariakoo,,,,,,lakini tayar ana wake wawil wa dizain hiyo mmoja ana nyumba 3 hapa mjini ameachiwa na mumewe aliyefariki,,,,ana carina T.i moja basi anakula bata tu,,,,

Hao wajane waume zao walikufa na maradhi gani?
 
Bishanga, si bora hata uhonge na shughuli upate pevu.

Wanamme wenyewe wa chips dume hawa, akiona paja tu asharowa, upyuuuuzi mtupu full kuchafuana tu.
 
Last edited by a moderator:
Hera ya gas ,shopping,nunilia gari why

Simple, wanaume wengi siku hzi hawataki kujishughulisha, wanapenda kulelewa so,wanajitegesha kwa wamama wa watu na wakipata chance tu wanajituma kweli kweli ili walelewe vizuri.

Lady Jay Dee aliwaimbaga nadhani akawapa kajina kazuri nimekasahau, mwenye kumbu kumbu atatukumbusha.
 
umenena vema, wanaume hawawajui wanawake.

Ukihongwa 100,000 anza kutafakari sana unailipaje.

Kuna mmoja kila mwezi namwekea wese kwenye bajaj yake, basi anajua kanipataa.

Cha ajabu sijui hagundui kama anailipa mara 10 yake?

Akyamama mjini fomu six

Mie huyu?
Na akili yangu timamu nilee kidume?
Nani anataka kujiongezea matatizo....
Mpango wa mie nikupe hela halafu ukahonge nautaka sasa?

Nikikupa sh 50,000 ujue utarudisha 500,000!!!!!
Tena be vere vefe careful nikikuhonga, utailipa tu, in a way ambapo huyojua kama umelipa....??

Chezea BT weye....... Angalau my hubby naweza kumpa, ila sio ndo ageuze mtaji, mara moja baada ya miezi kadhaa sii mbaya.......
lakini kiserengeti boy? Thubutuuuuuuuuuuuuu
 
Waulize wanaolea watakumegea siri kuhusu uwezo wao wanapotoa huduma waliyoitiwa.
 
Back
Top Bottom