kwa nini wanawake wanakubali kufanya haya?

Kongosho

Hivi kwa nini mwanaume akiwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi watu wanamuita mkali, mwanamke akiwa na mahusiano na wanaume wengi anaitwa malaya.
Umemuuliza Kongosho lakini acha nifyetue mimi ninavoelewa mkuu.

Jibu
Its unnatural.

Tunadanganyana tu kwamba mwanamke na mwanamme ni sawa lakini kiukweli hawawezi kuwa sawa hata iweje.

vyoo vyenyewe tunatumia tofauti pale uwanja wa taifa halaf uniambie tuko sawa?. Tumuheshimu Mungu wajameni
 
Last edited by a moderator:
hivi mwanamme mwenye mahusiano na wanawake wengi na anayerekodi mikanda ya ngono wako sawa?

Mie nawaona tofauti sana.
Mwenye wanawake wengi anafanya chumbani, na ni rijali kweli.

Anayerekodi kwa maana ya kuangaliwa na wengine sielewi kwa nini, huyo kwangu ni zaidi ya mal.aya tu.

Kongosho

Hivi kwa nini mwanaume akiwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi watu wanamuita mkali, mwanamke akiwa na mahusiano na wanaume wengi anaitwa malaya.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho

Hivi kwa nini mwanaume akiwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi watu wanamuita mkali, mwanamke akiwa na mahusiano na wanaume wengi anaitwa malaya.

mi ndio nashangaa.....eti funguo inayofungua kofuli nyingi ndio master key....
lakini kofuli inalofunguliwa na kila funguo halifai....can you imagine ritz......
 
hivi hao wanawake wanajirekodi wakiwa wanafanya peke yao..?..na huyo mwenzie yeye haleti aibu kwenye jamii......?na unadhani wanalazimishwa.....hawajui wanachokifanya?.....

I was also wondering, huu unafiki na double standard sijui zitaisha lini? Mwanamke anajirekodi for the same reasons mwanamume anajirecord, iwe biashara, umaarufu, ujana, ujinga etc!
 
Na hizo ndio dalili zile tulizoambiwa kwenye vitabu vitakatifu,wala mshishangae na mengine mengi msiyoyajuaambayo shetani hajaamua kuyaweka wazi.Kila unaposali iwe kanisani,msikitin,jumuiyani,nk. waombeeni na hawa sio akili zao ni akili za kishetani.
 
kwani ni vibaya kuangalia porn ya kwenu wenyewe...sex is a free act...mkikubaliana kurekodi well n good..hata kama hiyo tape ikionekana na wengine so what its a free world...kwani kuna mtu ambae hangoni au kungonoliwa mpaka mshangae....come on
 
Njoo uone kwenye mobile ya rafiki yangu mmoja amabye si katika marafiki wa karibu sana na mimi lakini ni rafiki tu, huyo rafiki yangu alitaka kunifowardia nikakataa, sababu sitaki simu yangu iwe na upumbafu wanmna hio :biggrin:
Poa fazaa . So wapi niwakute?
 
Imeandikwa "usizini. Kutoka 20:14" whether umerekodi au la dhambi ipo pale pale.

Sidhani kama hao wanafanya dhambi ya uzinzi au uasherati, kwa sababu waba-act. Sio kutoka moyoni. Labda kama ni dhambi nyingine...
 
kwani ni vibaya kuangalia porn ya kwenu wenyewe...sex is a free act...mkikubaliana kurekodi well n good..hata kama hiyo tape ikionekana na wengine so what its a free world...kwani kuna mtu ambae hangoni au kungonoliwa mpaka mshangae....come on

pole mwenzetu, sina jengine la kusema.
 
We mzee mwenzangu Mamndenyi , haya mambo tuwaachie vijana.

Sisi enzi zetu kupiga picha lazima uende studio na redio na maua unaweka juu ya stuli na pozi kuuubwa. Unajihakiki kama bugaluu na raizoni zimekaa vyema. Nywele unazipiga kwa kitanna cha mti. Shati vifungo kama ishirini hivi tena lazima liwe la kubana. Saa lazima ionekane na ilikuwa lazima iwe kubwa kama mita ya maji. Jamaa anakupiga black and white na unaambiwa uje uchukue picha baada ya wiki mbili! Ole wake asikupe negative ya picha....

Haya mambo kina RussianRoulette, gfsonwin Cantalisia, Erotica Bishanga na Rejao walikuwa bado kuzaliwa na kina Kongosho na AshaDii walikuwa bado hawajavunja manyungo.

Lakini Asprin hata kama ni utoto ndio tujiaibishe kwa kupiga mapicha mabaya tukiwa uchi kama wanyama? Na je hivi kuna akili gani ambayo inatumika hapo? manake mimi kwa uelewa wangu mdogo nawaza sijui ni ili kuona baadae ulifanyaje? na ya nini uone kama umeshafanya? jamani tupu iwe ya ke au me ni ya aibu mbaya na haifai kutazamwa hovyo. kwangu mmi huu ni mmomonyoko wa maadili na hawa vijana walioko mavyuoni wengine siyo wastarabu wanafikir wamemaliza ngoja wamalize waje mtaani halafu wakutane na hizi changamoto watataman wafute haya waliyoyarekodi na yakatazamwa na watu.
 
Last edited by a moderator:
We mzee mwenzangu Mamndenyi , haya mambo tuwaachie vijana.

Sisi enzi zetu kupiga picha lazima uende studio na redio na maua unaweka juu ya stuli na pozi kuuubwa. Unajihakiki kama bugaluu na raizoni zimekaa vyema. Nywele unazipiga kwa kitanna cha mti. Shati vifungo kama ishirini hivi tena lazima liwe la kubana. Saa lazima ionekane na ilikuwa lazima iwe kubwa kama mita ya maji. Jamaa anakupiga black and white na unaambiwa uje uchukue picha baada ya wiki mbili! Ole wake asikupe negative ya picha....

Haya mambo kina RussianRoulette, gfsonwin Cantalisia, Erotica Bishanga na Rejao walikuwa bado kuzaliwa na kina Kongosho na AshaDii walikuwa bado hawajavunja manyungo.

Kupiga picha uchi ama wakati una sex sio kunakokuwa tatizo. tatizo ni pale ambapo watu
wanajua kabisa mimi Erotica sio bikira na ninaishi na boyfie, kwa nini wanapata mlipuko na kushangaa
sana na kusambaza hio rekoding kwa kasi na hali hakuna cha ajabu. kama ngono wote tunafanya
labda style zinaweza tofautiana lakini mwisho wa yote kinachokuwa kinawashangaza sana ni nini?
wengine wanajirekodi kujiona mionjo yao wakati wana dou yanafanania vipi.
hao ambao wanakuta video na kusambaza ndio hayawahuuuu.
btw sipigi picha huku nangonoka, ila sasa nipo kulifikiria naweza weka mradi.
 
mie enzi zangu zile nakua (msichana),nilipiga picha naked,out of curiousity nijione nilivyo kama ninavyopiga zile za kawaida,tulipogombana na yule bwana jambo la kwanza nililofikiria ni picha zangu za uchi huyu bwana asizitumie kama tool...he si nikafuta zote,kumbe aliniwahi,akasevu kny cd kabla yangu......mie basi baada ya kuachana nae nikajua niko safe....he zeutamu ilipokuja si akanitundika,na humu JF nilishawahi kuona picha zile....advice to girls DONT EVER DO IT...they will always find their way to the media...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom