kmdh
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 503
- 120
labda wewe umo. lakini mimi simo na rafiki zangu pia ni madume a.k.a ngenda eka.
Unatumia vigezo gani kujiita ngenda eka? Nipe qualifications zako za kujiita kidume.
labda wewe umo. lakini mimi simo na rafiki zangu pia ni madume a.k.a ngenda eka.
Sijui takwimu zao lakini nawajua wengi. Angalia jinsi wanaume wa Tanzania wanavyoshindwa kwenye mambo ya michezo. Wakienda kwenye Olympics hata medali za shaba zinawashinda kupata. Kama si lege lege ni kitu gani? Halafu ni waoga waoga sana ndiyo maana mafisadi wenu bado wanapeta. Unafikiri nchi zenye vidume vya shoka wangeendekeza kufanyiwa ufisadi?

safi sana mkuu, umesema ukweli mtupu, tatizo la mi tz huwa haipendi kuambiwa ukweli, mi tz iko lege lege sana, hakuna wanalojua ila ubishoo na kubana pua tu, hakuna kinachozalishwa nchini, kila kitu ni cha kuletewa na kuomba omba, mpaka kuimba hawajui, wanakuja wakongo kuja kuwaimbia...what a shame?? Kwa watu kama sisi ambao tuko nje ya nchi tunaona aibu hata kusema " Im from Tanzania"
sasa ingekuwa Jambo Zuri ungewataja ni watu wangapi wanaobana Pua ili tupate kuwajuwa ni Wangapi Watanzania wanaobana Pua? Sio kusema Watanzania Wanabana Pua unamanisha Watanzania wote wanaobana Pua je wewe kwanza jitambulishe kwanza Ni Mwanamke au mwanamme? Na kama ni mwanamme basi na wewe pia ni mmoja wapo Wanaobana Pua asante Samahani kama nimekosea kukwambia ukweli.Hili jambo najua hakuna atakayebisha kuwa wa tz wengi wana tabia ya kubana pua, kuanzia wanasiasa. Waimbaji wa bongo flavour,Watangazaji wa maredioni (clouds....) sina haja ya kuwataja kwa majina....wanajulikana.
Haipendezi kwa wanaume kubana pua, haya mambo sio mazuri jamani kufanywa na wanaume
Hili jambo najua hakuna atakayebisha kuwa wa tz wengi wana tabia ya kubana pua, kuanzia wanasiasa. Waimbaji wa bongo flavour,Watangazaji wa maredioni (clouds....) sina haja ya kuwataja kwa majina....wanajulikana.

Wanaume wengi wa Tanzania ni lege lege. Yaani hawajaakaa kidume. Ndiyo maana wanawake wengi wa Tanzania wanatembea na wageni.