Kwa nini Wa Tz wengi wanapenda Kubana Pua??

Sijui takwimu zao lakini nawajua wengi. Angalia jinsi wanaume wa Tanzania wanavyoshindwa kwenye mambo ya michezo. Wakienda kwenye Olympics hata medali za shaba zinawashinda kupata. Kama si lege lege ni kitu gani? Halafu ni waoga waoga sana ndiyo maana mafisadi wenu bado wanapeta. Unafikiri nchi zenye vidume vya shoka wangeendekeza kufanyiwa ufisadi?

safi sana mkuu, umesema ukweli mtupu, tatizo la mi tz huwa haipendi kuambiwa ukweli, mi tz iko lege lege sana, hakuna wanalojua ila ubishoo na kubana pua tu, hakuna kinachozalishwa nchini, kila kitu ni cha kuletewa na kuomba omba, mpaka kuimba hawajui, wanakuja wakongo kuja kuwaimbia...what a shame?? Kwa watu kama sisi ambao tuko nje ya nchi tunaona aibu hata kusema " Im from Tanzania"
 
Thats true kama kweli Tanzania kuna wanaume hebu tuonyesheni ubabe kidogo...kwa nini mfe maskini wakati mafisadi wanapeta,hata kama huku JF hakuna maskini(under 1$ per day) but majority ya watz ni maskini sijawahi onaa..hii yote ni kwa sababu wanaume kakamavu hamna,natamani JESHI lirudishwe labda wanaume wataonekana!Pia CCM hawawezi rudisha jeshi kwa kuhofia kufumbua macho wanaume waliolala kudai Equal Distribution of National Income..najua mtapinga kudai haki kwa njia ya MTUTU,but if negotiations fails with Corrupt Regime,Coup de etat ndio SULUHU!period.
NAWAKILISHA MASKINI WENZANGU!
Sijui takwimu zao lakini nawajua wengi. Angalia jinsi wanaume wa Tanzania wanavyoshindwa kwenye mambo ya michezo. Wakienda kwenye Olympics hata medali za shaba zinawashinda kupata. Kama si lege lege ni kitu gani? Halafu ni waoga waoga sana ndiyo maana mafisadi wenu bado wanapeta. Unafikiri nchi zenye vidume vya shoka wangeendekeza kufanyiwa ufisadi?
 
safi sana mkuu, umesema ukweli mtupu, tatizo la mi tz huwa haipendi kuambiwa ukweli, mi tz iko lege lege sana, hakuna wanalojua ila ubishoo na kubana pua tu, hakuna kinachozalishwa nchini, kila kitu ni cha kuletewa na kuomba omba, mpaka kuimba hawajui, wanakuja wakongo kuja kuwaimbia...what a shame?? Kwa watu kama sisi ambao tuko nje ya nchi tunaona aibu hata kusema " Im from Tanzania"

Heheheee! nimecheka mpaka basi yaani!
 
Watanzania wengi ni kweli wako legelege. Hawafanyi mazoezi. Wengi wao wana pre-conceived false notions kuhusu mazoezi....
 
Hili jambo najua hakuna atakayebisha kuwa wa tz wengi wana tabia ya kubana pua, kuanzia wanasiasa. Waimbaji wa bongo flavour,Watangazaji wa maredioni (clouds....) sina haja ya kuwataja kwa majina....wanajulikana.
Haipendezi kwa wanaume kubana pua, haya mambo sio mazuri jamani kufanywa na wanaume
sasa ingekuwa Jambo Zuri ungewataja ni watu wangapi wanaobana Pua ili tupate kuwajuwa ni Wangapi Watanzania wanaobana Pua? Sio kusema Watanzania Wanabana Pua unamanisha Watanzania wote wanaobana Pua je wewe kwanza jitambulishe kwanza Ni Mwanamke au mwanamme? Na kama ni mwanamme basi na wewe pia ni mmoja wapo Wanaobana Pua asante Samahani kama nimekosea kukwambia ukweli.
 
Hili jambo najua hakuna atakayebisha kuwa wa tz wengi wana tabia ya kubana pua, kuanzia wanasiasa. Waimbaji wa bongo flavour,Watangazaji wa maredioni (clouds....) sina haja ya kuwataja kwa majina....wanajulikana.
Haipendezi kwa wanaume kubana pua, haya mambo sio mazuri jamani kufanywa na wanaume

Kwa waqle wote tuliochangia thread hii:
nadhani kuna haja ya kuwa tuna-vote "for or against the topic" kabla ya kuichangia. Otherwise kuna vipindi tutakuja kujikuta tunapoteza mda kuchangia topic "upupu"
 
Hili jambo najua hakuna atakayebisha kuwa wa tz wengi wana tabia ya kubana pua, kuanzia wanasiasa. Waimbaji wa bongo flavour,Watangazaji wa maredioni (clouds....) sina haja ya kuwataja kwa majina....wanajulikana.
Haipendezi kwa wanaume kubana pua, haya mambo sio mazuri jamani kufanywa na wanaume

Ukiona mwanaume anaongea kwa kubana pua na kuchezesha midomo basi ujue ameshaukwaa uboflo, ubwabwa, usponge, n.k. Ha ha ha!! Yaani anapakuliwa kisamvu!!

Back
Top Bottom