Kwa nini vya kuiba huwa vinakuwa vitamu sana?

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Jamani msinilaumu sana lakini hilo limenitokea mimi mwenyewe na nimeuliza baadhi ya rafiki zangu nao wameniunga mkono. Yaaaaaaaani, sijui nguvu huwa inatoka wapi!! Wakati fulani nilienda tripu nne bila kupumzika jambo ambalo siyo ninapotumia mali yangu.
 
what happened ni kwamba miongoni mwa vitu ulivyozoea kumetokea mabadiliko. Kwa wakati huo, kilichobadilika ni huyo mwanamke pamoja na mazingira. Believe me, jaribu kubadili mazingira na mpenzi wako na utaona tofauti. Mshauri pia awe anabadilika badilika ikiwemo kuvaa nguo za ndani aina tofauti na ulizozizoea kumwona nazo!!!
 
Naona umeongea kitu cha maana. Kuna wakati tulisafiri na mke wangu kwenda mbali kidogo. Tulipata nafasi ya kufanya ule mchezo. Siyo siri, performance iliboreka sana. Kwa hiyo suala la mazingira inawezekana lina-matter pia.
 
Hata viwanja vya nyumbani unaweza tumia, km sebuleni, bafuni, jikoni,koridoni nk nk utaenjoy!
 
Shuka, godoro, kitanda, chumba, mapazia, kapeti n.k ni hivyo hivyo tu, style ile ile ya Baba na Mama wa miaka 70 kweli msichokane? badilisha chumba, mandhari, sio lazima mkeo tu hata wewe waweza fanya hilo pia, kama unachoshwa na mkeo vice versa iz true!!! so na wewe umeibiwa! hebu badilisha hata upande wa kitanda kigeuzie upande mwingine bana, aah kwenye makochi ni pazuri kupatumia kama "starter" kabla ya kwenda uwanjani, ufunge mlango kwanza....
 
Acha vitu vya kuiba utauawa wewe. Jaribu kubadilisha style ya kufanya mapenzi na ikiwezekana hata venue. Ubadilishaji wa venue unaongeza radha sana. Siku moja nilimvamia mamsapu wangu bafuni nilimpokonya dodoki na kuanza kumsugua huku 'mzee' nae akipenya eneo analopenda kutulia. Tuliendelea kufanya hivyo mpaka mzee nikacheua. Mamsapu alifurahia sana manake ilikuwa raha ajabu mpaka tumejenga mazoea. Sasa ninyi kama kila siku ni kifo cha mende tena kitanda kilekile kwa nini msichoke!
 
Ushasema vya kuiba, ni lazima viwe na raha mazingira tofauti unakuta dem kajiremba kajisafisha ananukia ile mbaya, kakupania atakupa mambo adimu, sasa unarudi home unakuta mdada kajishindia na dira linanuka maziwa hajajiremba, nywele zimemsimama kama mitipembe, awali ya yote kakasirika hapo hamu itatoka wapi?
majukumu pia ya nyumbani yanatufanya wanawake tusahau kujiweka soapsoap.
 
Kumbe sababu zinaeleweka! Kwa nini tusibadilike sasa ili kuleta mshawasha wa mapenzi?
 
Sikubahatika kusikia hiyo raha kwenye huo wizi mbona? nafikiri kila kitu ni akili yako tu inavokutuma
 
vya kuiba ni vitamu zaidi kwa sababu ni siri yako wewe na yeye
hakuna maneno maneno,
hakuna majungu...
hakuna wa kukuletea umbea...
hakuna kumchunga mwenzio...
hakuna wivu na visasi kwa sababu ni siri

siri ikiondoka,mkiamua kuhalalisha tu,ladha itaondoka
sababu majungu na umbea yataingia kwenye uhusiano...
 
Jamani msinilaumu sana lakini hilo limenitokea mimi mwenyewe na nimeuliza baadhi ya rafiki zangu nao wameniunga mkono. Yaaaaaaaani, sijui nguvu huwa inatoka wapi!! Wakati fulani nilienda tripu nne bila kupumzika jambo ambalo siyo ninapotumia mali yangu.

Tatizo hapa kila mtu akiandika anasema eti ni rafiki yake pengine yanawahusu wao wenyewe hawasemi
 
Pamoja na kubadilisha mazingira, mitindo, tabia, mikao......vitu ambavyo ni kweli vinaleta ladha mpya, vya kuiba vinakuwa vitamu kwa sababu hiyo... ni vya kuiba.
Wizi, kwa kuwa ni haramu, unaambatana na shetani: Na shetani siku zote anakuvuta kule ulikokatazwa. Hata mwizi wa mali za umma au za watu, anaziona tamu kwa sababu hakutokea jasho pale. Lakini ole wake siku akibanwa. Ikiwa ni ndoa itayumba, ikiwa ni kazini atatimuliwa na kufungwa, ikiwa ni mali ya watu hivyo hivyo, sikwambii heshima na uaminifu.

Tuwache wizi. Ukiona vyaelea vimeundwa. Tunza kibaya chako kiwe kizuri, utaridhika na utaheshimika.
 
Jamani msinilaumu sana lakini hilo limenitokea mimi mwenyewe na nimeuliza baadhi ya rafiki zangu nao wameniunga mkono. Yaaaaaaaani, sijui nguvu huwa inatoka wapi!! Wakati fulani nilienda tripu nne bila kupumzika jambo ambalo siyo ninapotumia mali yangu.
Kwani hujui kuwa uzuri wa mwanamme/mwanamke wa nje ni upya wake tu.
 
Tumieni style tofauti tofauti kama, kumpakata, kichurachura, mbuzi kachoka, pangaboi n.k,
Pia mnaweza kudo kwenye kiti, juu ya meza, sakafuni, kwenye ngazi, ukutani, kwenye gari, jikoni, bafuni, uani, bustanini.
 
Back
Top Bottom