Kwa nini mishahara imekatwa kienyeji Ludewa?

Njangula

Senior Member
Oct 20, 2011
179
18
More than pains beyond comparison. Japo mishahara yetu ni midogo bado machungu yanaongezwa kwa kukatwa 40000 ktk mishahara yetu midogo. Suala je ni bodi ya mikopo au ndio mikakati kuongeza vyanzo vya mapato ya halmashauri? Je hatuna haki ya kutaarifiwa? Is it the same even to other councils especially to teachers?
 
Back
Top Bottom